Recent content by Yuu_sraa

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    🚮🚮
  2. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    Hahhah huna cha kujibu, Anyways but zaidi ya mara moja huwa nmekuona like you hold inflexible views while you’re unwilling to accept corrections😌.
  3. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    Ila Watanzania kwa kukurupuka hatuna baya kitu si kitu utaskia “Ndio maana Gaza wanauliwa” Unaweza kutoa ushahidi walau wa maneno yanayo onyesha gaza wakiuliwa huku saudia wakishangilia?!
  4. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    😂😂
  5. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    Kama ana sifa zote ila hana shape halafu ni mweusi hafai?🤔
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Una lolote la kusema kuhusu hizi picha?

    One of the worst things is to be an adult and still be a fool!
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Amiin kaka. Nashkuru kwa ushauri wako.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Nipo dar, halafu mie sio kaka.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye jambo hili,linanitatiza kidogo

    Jitahidi kuzuia hasira na jazba, coz siku nyingine unaweza mtuhumu mtu wa nje ya family yako na ukajenga uhasama. Tafuta siku ambayo kijana yuko happy muite then muombe msamaha kwa maneno ya hekima na umpe ushauri asije fanya kwa wengine kama wewe ulivyo mfanyia.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Ok, machimbo ya wapi hayo? Niharakie chap
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Hahahaha nabeti na meno? Sina hela mie. Nakutania, no siwezi beti.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Nashkuru sana kwa ushauri wako. 1.Kuwa winga ni jambo zuri na linakwamua watu kiuchumi but ni process kdg sio simple as how you explained. Eg; kujenga uaminifu n.k (Me nahitaji walau niwe nimefanikisha ndani ya hzi week mbili) Ndy masuala mengne yatafuata. 2. Hapana siwezi kukopa kwenye...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Mbona sijaomba kazi ya ofisini broh! Anyways it’s ok.
Back
Top Bottom