Msaada kwenye jambo hili,linanitatiza kidogo

Muombe msamaha lakini uweke kama utani.
Mwambie dogo kile kitu nimekusema bure kumbe nilimuazima fulani halafu mpe na hela ya usumbufu.
 
Kausha Tu,halafu Anza kumfanyia mambo ya kumfurahisha,yaani uwe mtu mwema kwake mpaka ashangae,jiweke karibu nae!!
Hapana. Amuombe msamaha kiutu uzima kama baba. Inakuwa rahisi kuomba msamaha kwa watu baki kiliko kijana wako?
 
Wasalaam.

Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri.

Iko hivi,

Juzi, yaani jumamosi,
Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu mno,yaani mno.

Sasa kumbe kuna mtu aliniazima na Mimi nikasahau kabisa kuwa nimeazimisha Mtu.

Basi katika kutafutatafuta na kukosa ,tuhuma zote nikazielekeza Kwa kijana wangu,ambaye muda mwingi sikai naye kwani huwa anaishimkoani anakosoma.

Basi nilitoa maneno yoooote mabaya,huku mwanangu akikataa hajahusika ,nikamsogelea nikamtikisa kama kutaka kumpiga, lakini kijana akapiga magoti huku akidai hajachukua kifaa kile.kwani Hana kazi nacho.

Kwahiyo tangu juzi tumekaa Kwa kukwepana huku nikiamini kijana kapoteza kifaa changu,

Chaajabu jioni hii saa 11 nimeletewa kifaa na mtu niliyekuwa nimemuazima huku akishukuru kwakuwa kimemsaidia mno ,ni takribani wiki tatu zimepita tangu aazime.

Sasa ,najikuta mwenye hatia,mwanangu nimemuonea,natamani hata nimuombe msamaha,je, inawezekana kumuomba msamaha mwanao wa kumzaa?

Majibu yenu tafadhali.
Mwambie ukweli
 
Mkuu jitahidi KUWA mpole kwa watoto,Huwa inafikia hatua ukisafiri watoto wanafuraha ila ukirudi wanakosa amani. Wakisikia unasafiri ni shangwe ukirudi TU, Raha hawana

Kwishaaaaa
 
Mimi nimelelewa kwenye familia ambayo Mzee hakosei!
na hata akikukosea huwezi kumuwekea kinyongo!!
Zaidi Sana,utamuona anajipendekeza pendekeza kwako,lakini Sio kuomba msamaha strait!
1.Mzee hakosei si sawa
2. Mzazi akikosea huwezi muwekea kinyongo hilo nalo linaweza kuwa sawa au si sawa. Kuna makosa mzazi anafanya hata kumsamehe ni ngumu.

Ukimkosea mtoto muombe msamaha. Hebu fikiria ukafanya tukio ambalo limwmuumiza mtoto wa jirani mwenye miaka 12 and above, hutaomba msamaha? Bila shaka unaweza sema samahani kijana wangu haikua nia yangu kukuumiza. Kama unaweza kwa mtoto wa jirani, kwa nini ishindikane kwa mtoto wako?

Mimi mzee wangu alikuwa mtata lakini hiyo siku alijua ameniumiza aliwahi asubuhi kuomba msamaha na hilo liliniumiza mimi pia kwa kuwa nilijua hakupewa taarifa sahihi.
 
Wasalaam.

Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri.

Iko hivi,

Juzi, yaani jumamosi,
Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu mno,yaani mno.

Sasa kumbe kuna mtu aliniazima na Mimi nikasahau kabisa kuwa nimeazimisha Mtu.

Basi katika kutafutatafuta na kukosa ,tuhuma zote nikazielekeza Kwa kijana wangu,ambaye muda mwingi sikai naye kwani huwa anaishimkoani anakosoma.

Basi nilitoa maneno yoooote mabaya,huku mwanangu akikataa hajahusika ,nikamsogelea nikamtikisa kama kutaka kumpiga, lakini kijana akapiga magoti huku akidai hajachukua kifaa kile.kwani Hana kazi nacho.

Kwahiyo tangu juzi tumekaa Kwa kukwepana huku nikiamini kijana kapoteza kifaa changu,

Chaajabu jioni hii saa 11 nimeletewa kifaa na mtu niliyekuwa nimemuazima huku akishukuru kwakuwa kimemsaidia mno ,ni takribani wiki tatu zimepita tangu aazime.

Sasa ,najikuta mwenye hatia,mwanangu nimemuonea,natamani hata nimuombe msamaha,je, inawezekana kumuomba msamaha mwanao wa kumzaa?

Majibu yenu tafadhali.
Jitahidi kuzuia hasira na jazba, coz siku nyingine unaweza mtuhumu mtu wa nje ya family yako na ukajenga uhasama.

Tafuta siku ambayo kijana yuko happy muite then muombe msamaha kwa maneno ya hekima na umpe ushauri asije fanya kwa wengine kama wewe ulivyo mfanyia.
 
,natamani hata nimuombe msamaha,je, inawezekana kumuomba msamaha mwanao wa kumzaa?
mtu mzima unaombaje kushauriwa kwenye jambo kama hili? Kwamba hujui kitu sahihi cha kufanya, JF wakikwambia usiombe msamaha utakubaliana nao?
 
Kumpa amani pia kwako ni heri umuombe msamaha, Muite pembeni kwa utulivu sana kisha ongea kumuomba msamaha...hii itampatia amani zaidi. Usipofanya hivyo hatokaa asahau kamwe tukio hilo wala kuachilia, ataweka hiyo kitu moyoni mpaka anakufa.

MUOMBE MSAMAHA TU.
Hili nalo neno mie mdingi alininyima hela ya karata wakati chumbani nilikuta burungutu la hela na yeye anavuta sigara. Aisee niliweka kinyongo nao mpaka alipokufa
 
Ahsanteni sana wakuu Kwa ushauri wenu.

Jana nimemfuata chumbani kwake,nimemwelewa ukweli sijamficha kitu.kanielewa sana ,na nikamwambia achague Zawadi gani ambayo ingemfaa.

Alikataa na kuniambia nimefanya mengi kwaajili yake na anajivunia kuwa na aina ya Baba kama Mimi ,hivyo sipaswi kutoa Zawadi yeyote.

Sasa leo nimepita mahali nimenunua PC mpya nataka nimsuprise najua ndiyo ugonjwa wake.
 
Tafuta siku ambayo yupo free, mtoe out sehemu anayoipenda Au mfanyie kitu anachokipenda then kwenye hiyo moment ndo hapo hapo unamuomba msamaha.

Atasamehe Ila hatokusahau mana inaonyesha ulimuumiza moyoni 😎
Hapo ni kuendekeza mtoto alaf kumbuka huyo ni wakiume
 
Wasalaam.

Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri.

Iko hivi,

Juzi, yaani jumamosi,
Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu mno,yaani mno.

Sasa kumbe kuna mtu aliniazima na Mimi nikasahau kabisa kuwa nimeazimisha Mtu.

Basi katika kutafutatafuta na kukosa ,tuhuma zote nikazielekeza Kwa kijana wangu,ambaye muda mwingi sikai naye kwani huwa anaishimkoani anakosoma.

Basi nilitoa maneno yoooote mabaya,huku mwanangu akikataa hajahusika ,nikamsogelea nikamtikisa kama kutaka kumpiga, lakini kijana akapiga magoti huku akidai hajachukua kifaa kile.kwani Hana kazi nacho.

Kwahiyo tangu juzi tumekaa Kwa kukwepana huku nikiamini kijana kapoteza kifaa changu,

Chaajabu jioni hii saa 11 nimeletewa kifaa na mtu niliyekuwa nimemuazima huku akishukuru kwakuwa kimemsaidia mno ,ni takribani wiki tatu zimepita tangu aazime.

Sasa ,najikuta mwenye hatia,mwanangu nimemuonea,natamani hata nimuombe msamaha,je, inawezekana kumuomba msamaha mwanao wa kumzaa?

Majibu yenu tafadhali.
Haitaji kumuomba msamaha mwambie kifaa umepata uliazima mtu ukasahau full stop.akilalamika sana mwambie sio Kila anaenda jela ana hatia ataelewa
 
Hapo ni kuendekeza mtoto alaf kumbuka huyo ni wakiume
😂
Labla Ww umeenda mbali mno, kumuomba msamaha sio mpaka apigiwe magoti au maneno mengi, anaweza kumwambia tuu pole na samahani then imetoka hy
 
Chukua kikaratasi andika dogo yaishe bwana kifaa nimekipata alafu tegeshea hayupo rusha chumbani kwake ,sehemu ambayo ni rahisi kuona .

Alafu jipe kisafari cha mbali ili akiona hiyo karatasi akisoma akusamehe alafu asikuone ,rudi baada ya wiki endelea na mitikasi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom