Recent content by Yutina

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Kuna wakati watu wasijitoe fahamu...leo ndo Lowassa anakuwa hafai x ngapi kawasaidia ktk harambee zao hao waislam...hata mm wazazi wng ni waislam n ndg wote lkn kwa hili hawamuungi mkono huyu shekhe...kila mtu anazo ndoto zake...maneno ya mshenga sio ya leo alisema miaka 3 nyuma...hizi ni dalili...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Nakumbuka Sumaye alisema khs issue ya ugonjwa wanyamaze...kuna wagonjwa kuliko huyo...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Dr slaa ni km Zidane vl
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Jaji Sinde Warioba kanishangaza

    Ni vzr watu mkijadiliana kwa hoja...hata kuwaita watu wapumbavu c sawa mana hao pia ni watz...kwa maana nyngn hata wa ccm n wapumbavu kuendelea kuipa nafs ccm wakt hkn kilichofanya.. ukimtukana baba yng kisa yupo ukawa umenitukana n mm pia ambaye nipo ccm...kweli ukitaka kujua tabia ya mtu...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Hapa ndo namkumbuka Daudi alipomuona yule mfilisti asie tahiriwa akiwatukana akasema ntamtenda kama yule dubu...zamu ya mfilisti huyu kutendwa anae tuona ss tumekunywa viroba n kututusi n dharau...daudi yy alitumia mawe cc vichinjio atatueleza....
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Ukiona mtu hajielewi hadi anakopi usemi eti na wao ushindi ni asbh...hahahaaaaaa....ajaribu ile iyena iyena yake atasoma no...mnafki mpe muda tuuu ataumbuka...dawa yao hawa tuombe kuendelea kueavurugia usemi waseelewane...huyu akisema kidumu...mwngn people'ssssssss...ikifika uchaguzi utawaona...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Kuna wakati ukimuona mlevi anapepesuka mpishe mana ukimgusa akianguka atasema kasukumwa...wapisheni wasipate cha kusema...anawadanganya wazee co vjana...lkn hata Farao alifungwa akili akawa na moyo mgumu ili aangamie
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

    Ila mpelekeni polepole kama alivyo kaka yake polepole na makonda...anataka kuhama ila ss chama ndo kilimleta mjini...alikuja na mbio za mwenge akabaki anashindwa kukisaliti chama...ccm itawaua wng...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

    Elungata Lowassa hahitaji kunadiwa sana ndg yng...nyota yake inatosha kuwa mvuto...safari hii hayupo msoma nyota wa ccm kinaumana...malimao yatahusika
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

    Jamani kuna watu siasa hawaijui wanadandia tuuu...Mnyika kapewa kibibi kimoja kinaitwa Fenera Mukandara...ni kama anasukuma mlevi...ukikomaa kisiasa unapisha jimbo unasongesha majeshi ya ukombozi mbele...ila lzm tujue pia wanaoipigia ccm chapuo co watu mtaumiza vichwa bureeee
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Huku tunaitwa Makapi,Vibaka;Libya waliitwa mapanya,Rwanda Inyenze(Mende)

    Hakuna neno mushindwe na mulaaniwe...japo mgeni niweke sawa kiswahili...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Kuna wazazi wanakosa majina ya kuwapa watt wao...eti polipoli...mjini kafuata nn...huyo ni mnafik...ktk quran alama za mtu mnafiki ni 3 huyu anazo zote....pia watu kama hawa mafarisayo msiwashangae biblia imewaeleza hawa...so hasumbui mtu mpuuuzi huyu
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Asante sana...binafsi nilizima tv...ckuwahi kuwaza kama atakuwa hv pole2...ila hawa wapo toka zama za mitume...huyu ni sawa na Makonda na Nape wote hovyo tuuu....sorry
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Hodiii...kama mgeni wa ukumbi huuu niombe tuuu kuchangia...kama lilivyo jina lake polepole...basi mpeni muda polepole atabadilika...amejisahau kwa hela aliyolipwa kuandaa katiba...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Epuka UTAPELI wa CCM kwa jina la Lowassa kwakuiba BVR yako!

    Asante sana kiongz
Back
Top Bottom