Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,393
Watawala wanapoingiwa hofu ya kuondolewa madarakani huamua kuwatukana wananchi wao wenyewe na kuwaita kila aina ya majina mabaya
Wakati viongozi wakuu wa CCM wameamua kutuita Watanzania maadui,makapi,oil chafu na vibaka,huko Libya watawala waliwaita wananchi wao wenyewe MAPANYA,Intarahamwe kule Rwanda waliwaita ndugu zao Watutsi INYENZE(yaan Mende).
Lakini hatimaye Panya walimtimua Gadaffi huko Libya,na Inyenze wakiongozwa na Mende Mkuu Paul Kagame waliwavurumushia mbali Intarahamwe huko Rwanda na kumbe Mende wana akili bwana kuzidi Maprofesa wa hapa kwetu maana jana tu Profesa mmoja hapa kwetu ametoka kula bata huko na kutafuta kujua maarifa ya namna Mende walivyomudu kuijenga nchi yao.
Tukaze mwendo,Makapi,Oil Chafu,Maadui na Vibaka hatimaye tutaweza kuongoza dola hii na Maprofesa hata wale wa kichina watakuja kwetu kujifunza tulivyofanikiwa kubadili maisha ya Watanzania.
ALLUTA CONTINUAAA!