Recent content by Yusuf Mshihiri

  1. Y

    JamiiForums Tanzania SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    Kama una nia ya kweli ya kujiboresha basi ridhika utakapoonekana mpumbavu na mjinga.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa Tundu Lissu alipata wapi Ujasiri wa kumkosoa Magufuli hadharani akiwa hai. Sasa naona mbwa koko ndio Wanabweka

    Kama mzinga wa nyuki si mzuri kwako hauwezi kuwa mzuri kwa nyuki.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa Tundu Lissu alipata wapi Ujasiri wa kumkosoa Magufuli hadharani akiwa hai. Sasa naona mbwa koko ndio Wanabweka

    Baraka kuu zimo ndani ya nafsi zetu na zi karibu yetu daima. Mwenye hekima hukinai na alichonacho chochote kile kiwacho.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Tunatumia vitu vingi kwa mazoea kwa vile vimo katika milki yetu, yalaiti tusingekuwa navyo pengine tusingelivihitaji asilani.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

    Asiyeweza kupambanua chema na kizuri hastahili mapenzi, maana mapenzi ya kweli humstahilia mwenye hekima.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Misafara ya viongozi ni hasara kwa taifa maskini kama Tanzania

    Kipimo cha dhahabu ni moto, kipimo cha mwanadamu ni shida.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Usikereke na yajayo utapambana na nayo kwa akili hii hii unayopambana na ya sasa.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa Tundu Lissu alipata wapi Ujasiri wa kumkosoa Magufuli hadharani akiwa hai. Sasa naona mbwa koko ndio Wanabweka

    Kumlaumu mtu kwa madhila yako ni dalili ya uhitaji wa elimu, kujilaumu nafsi yako ni mwanzo wa elimu, asiyeilaumu nafsi yake wala ya mwenzake ni ukamilifu wa elimu.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Dunia humpa njia kila ajuaye wapi aendapo.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania CCM acheni Janjajanja. Mliua uchumi wa nchi miaka mitano iliyopita

    Ni desturi ya watu kuwadharau watu wema kama vile mbwa anavyowabwekea wageni.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Na kwanini tusimuonee huruma yule ambaye amedhulumiwa kukifikia kipaji chake kikuu kama vile tunavyomwonea huruma kilema?
  12. Y

    JamiiForums Tanzania CCM acheni Janjajanja. Mliua uchumi wa nchi miaka mitano iliyopita

    What you have said is factual right but our leaders have been capitulated. They are paid not to think, but to do what they are told.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Indeed let him be who he wants to be mm cjaona kosa lake coz all in all mwanume mwenye akili anafwata maslahi nothing else.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Happy International Men's day

    Am proud to be a man
Back
Top Bottom