Sijaelewa Tundu Lissu alipata wapi Ujasiri wa kumkosoa Magufuli hadharani akiwa hai. Sasa naona mbwa koko ndio Wanabweka

Lissu hayupo sawa kisaikolojia ukimuangalia uongeaji wake tu unaona hilo tatizo sema kinachomsaidia ni kwamba yupo upinzani tu.
Uko sawa, Lisu ni mzurii, ila usimpe cheo cha mwisho kama Urais,,, mtalia,, bora hata mbowe,, lisu mpe uwaziri, hapo atakuchapia kazi kwerikweri,
 
Kumlaumu mtu kwa madhila yako ni dalili ya uhitaji wa elimu, kujilaumu nafsi yako ni mwanzo wa elimu, asiyeilaumu nafsi yake wala ya mwenzake ni ukamilifu wa elimu.
 
Wewe nawe ni miongoni mwao hao wanafiki walioshindwa kumkubali TL wakati anamkosoa Magufuli akiwa hai leo hayupo et na wewe ndio unahangaisha vidole vyako kutype huu utopolo.

Sisi tuliwaambia tangu jiwe wenu akiwa hai kutokumuambia ukweli kwa kumuogopa huo sio uzalendo ambao nyie mlikuwa mmejivika koti hilo
Unazungumzia ukweli gani bwashee?
 
Lisu ni zawadi aliyotupatia Muumba hapa Tanzania. Bila yeye tusingejua kuwa kuna dikiteta uchwara. Ndio maana hata zile risasi zote zilizompata bado yuko hai. Waliomtisha kwa kumnyima matibabu na kupiga pushapu kana kwamba pumzi wanagawa wao hatunao. Mungu ni wa wote, tuishi kwa kupendana.
Kumjua dikteta inakusaidia nini maana hiyo ccm tunaijua miaka na miaka ila hadi leo tumefanya nini?
 
ulifanya research ndotoni sio?

acha ubishi, ingia mtaani fanya uchunguzi mwenyewe utapata majibu...watu walimuamini sana JPM na waliamini angeweza kufanya kitu katika nchi hii...sihitaji kubishana na wewe huo ndio ukweli...fanya research kwa watu wakawaida na wachini ambao ndio wengi katika Taifa hili utapata majibu..

Binafsi nilitofautiana na JPM kwenye baadhi ya sera zake lakini kuna mahala niliamini aliuweza hii nchi na angendelea basi uelekeo ungekuwa mzuri...

Ndani ya hii miezi ambayo JPM hayupo tumeshuhudia mengi sana ya hovyo kuanzia watu kushindwa kuwajibika, kushuka kwa nidhamu makazini, watu kuanza kulipana posho na masemina mikoani nk..
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Leo nimetoka kumsalimia mama yangu akniambia hakuna maji akaenda mbali zaidi na kuniambie kuwa hata yale mambo ya ajabu aliyoondoa jpm yanarudi tena kwa kasi
Uzuri sasa hivi watu wanaishi kwa amani! Hakutusikii viroba vyenye miili ya watu vikiokotwa, hatusikii watu kutekwa ovyoo wala kutandikwa risasi! R.i.p Bensa8 na wengineo

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Huo uelewa mdogo wa mambo haupo kwenye kumshambikia Magufuli tu hata hao wanaokosoa nao wana tatizo hilo hilo la uwelewa mdogo, kiufupi hao ndio waliyo wengi.

Watu wengi wameshaamka ndio maana baada ya kuona box la kura linanajisiwa hawajitokezi tena kupiga kura. Hii idadi ndogo inayojitokeza kwenye vituo vya kura, ni baada ya wananchi kuichoka CCM, ila tume ya uchaguzi na vyombo vya dola vina ushirikiano wa kihalifu kwenye kuchakachua matakwa yao.
 
wapo wengi waliomkosoa, ZZK alimkosoa sana, Membe alimkosoa sana, Hashim Rungwe spunda alimkosoa nk... TL hakuwa na point yeyote kwenye ukosoaji wake kumfananisha na ZZK ambaye alikuwa akichambua mambo mbalimbali kitaalam hasa uchumi, demokrasia nk.... TL mara nyingi alikuwa akifanya character assasination...
Ok. Ndio maana mkampiga Risasi?
 
Lissu hayupo sawa kisaikolojia ukimuangalia uongeaji wake tu unaona hilo tatizo sema kinachomsaidia ni kwamba yupo upinzani tu.

Waliokuwa sawa kisaikolojia ni walioagiza ashambuliwe kwa risasi? Yeye ana hasira kwa mwendakuzimu kuagiza ashambuliwe kwa risasi ili kumuua. Sasa ulitaka akae kimya bila kumshambulia aliyedhamiria kumuua?
 
tukitumia akili na kuendeleza spirit yake na baadhi alivyoacha kwenye pipeline na tukaacha huu ujinga tuliounza tayari ...itakuwa ndio mwisho wetu wa kukopa....
Afadhali umetumia neno "baadhi". Ya Wasiojulikana yasirudi tena tafadhali...
 
Afadhali umetumia neno "baadhi". Ya Wasiojulikana yasirudi tena tafadhali...

kuna wakati mambo kama hayo hayaepukiki ili watu wakae kwenye mstari...kuna wapumbavu wanahitaji unyama ili watambue wanaishi kwenye nchi yenye watu zaidi ya 60m na wote wanahitaji kufaidika na nchi yao..
 
Waliokuwa sawa kisaikolojia ni walioagiza ashambuliwe kwa risasi? Yeye ana hasira kwa mwendakuzimu kuagiza ashambuliwe kwa risasi ili kumuua. Sasa ulitaka akae kimya bila kumshambulia aliyedhamiria kumuua?

unaweza kutoa ushahidi usio na shaka yeye ndio aliagiza atandikwe risasi...?
 
acha ubishi, ingia mtaani fanya uchunguzi mwenyewe utapata majibu...watu walimuamini sana JPM na waliamini angeweza kufanya kitu katika nchi hii...sihitaji kubishana na wewe huo ndio ukweli...fanya research kwa watu wakawaida na wachini ambao ndio wengi katika Taifa hili utapata majibu..

Binafsi nilitofautiana na JPM kwenye baadhi ya sera zake lakini kuna mahala niliamini aliuweza hii nchi na angendelea basi uelekeo ungekuwa mzuri...

Ndani ya hii miezi ambayo JPM hayupo tumeshuhudia mengi sana ya hovyo kuanzia watu kushindwa kuwajibika, kushuka kwa nidhamu makazini, watu kuanza kulipana posho na masemina mikoani nk..

Bado unaamini kwenye utawala mtu,na sio utawala mifumo. Matokeo yake huyo aliyehadaa umma kuwa anaweza kuongoza, kaishia kubrainwash watu kwa propaganda huku akijijenga kufia madarakani bila kujenga mifumo imara,leo hii hata mwaka bado toka apelekee kuzimu mnasema mambo yameharibika! Kama kweli kiongozi alikuwa anajenga nchi imara, inakuwaje ndani ya muda mfupi wa yeye kuondoka mambo yaharibike? Alaaniwe amtegemeaye mwanadamu.
 
yeye mwenyewe na Mbowe wanajua ni kwanini..
Siku nyingine ukipewa hiyo kazi usiharibu Risali nyingi. Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini chuki za dhahiri kwa Mbowe na Lisu hoja zako zinakuwa unbalanced. Pia tutambua kuwa Magufuli ameondoka tumwache apumzike kwa amani. Hizo Research zako na Wamachinga hazisaidii kitu kwa sasa. Vipi Bandari ya Bagamoyo mmeshaanza kuchimba msingi?
 
Back
Top Bottom