Recent content by yussufhajj

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Afrika mashariki imara ( The great east africa )

    Ni kwl kbs mfumo wa bunge kuzngk wakt arusha eneo lipo ni ufisadi
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Afrika mashariki imara ( The great east africa )

    Swala la kuendeshwa nchi ulizozitaja na madikteta sizan kama ni moja ya sbb ys kukwama kwa shirikisho
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Berlin

    Nitaleta madhar yake ktk posti nyengn ili yaweze kujadiliwa kwa upana
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Berlin

    Madhara yake ni makubwa sana ikiwemo kudumazw kwa fikra za wa afrika . Nitaleta posti maalum kuhusu madhara maana yake ni makubwa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Berlin

    Hhhhhh kuendelea kutawaliwa tena? Kwaio tungeruhuzu akili zetu kuendelea kudumazwa
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Berlin

    Sw sw dd
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Berlin

    Mkutano wa berlin ulifanyika siku ya jumapili 15/ November /1884 hadi febuary 1885. Mkutano huu ulijumuisha wajumbe wa nchi 14 za ulaya na wajumbe kutoka USA. Mkutano huu uliitishwa na aliekua kansela wa ujerumani wa wakati huo chncl Olto von Bismark na ulifanyika katika jiji la berlin nchini...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Afrika mashariki imara ( The great east africa )

    Kwa huu mwendo wa kobe kweli nitsbr hadi kuchoka
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Afrika mashariki imara ( The great east africa )

    Wakati umefika kwa Afrika Mashariki kuwa eneo imara katika bara la Afrika. Baada ya kuwepo kwa soko la pamoja , uhuru wa forodha sasa tunatarajia kutumia fedha ya pamoja ambapo baadae tunategemea shirikisho la Afrika Mashariki. Kuchelewa kwa kufikia Afrika Mashariki kuwa na shirikisho tayari...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania UN: Rwanda bado inasaidia waasi Burundi

    Dola dogo kama rwanda si vzr kufata sera ya marekani ya " kujiimarisha kwa kudhoofisha wengine " tena mbaya zaidi kagame anatumia sera hio kwa jirani zake . Na kama kagame anataka rwanda na burundi ziwe moja na waungane na tz
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Karibu tujadiliane uendeshaji mzima wa taasisi za kiraia (taasisi zisizo za kiserikali)

    Ahsante sana kk umenifunua akili pakubwa
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Karibu tujadiliane uendeshaji mzima wa taasisi za kiraia (taasisi zisizo za kiserikali)

    Ss tunajishughulisha na shghl za kiuchm . Utunzaj mazngr na utoaji wa elm mbl mbl kwa vjn
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Karibu tujadiliane uendeshaji mzima wa taasisi za kiraia (taasisi zisizo za kiserikali)

    Habari zenu wadau , kwa pamoja naomba tujadili uendeshaji mzima wa taasisi za kiraia ( jumuiya zisizo za kiserikali) . Hapa nataka tujifunze mambo mbali mbali kuhusu taasisi hizo na tupate uzoefu wa kuziendesha. Kama upo katika taasisi fulani nataka utujuze miradi yenu , mafanikio na...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania FIFA: Zanzibar sio nchi

    Zanzibar ni nchi ilio na internal sovereighnty . Ktk muungn zanzibar imepoteza external sovereighnty. Nahis wanacho fanya fifa ni ukoloni mamboleo na kutaka kutugombanisha wa Tanzania. Scotland ni sw sw na zanziba mbn wao wamewakubl na kuwa wanachama wa fifa? Scotland ipo ktk muungano na england...
Back
Top Bottom