Recent content by Yurri

  1. Yurri

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Asante GSM ,Kwa jambo kubwa na zuri la kuwa na nia ya kujenga uwanja. Pongezi kubwa Eng Hersi na uongizi wake kwa jambo hili. Kuna mambo kadhaa yafaa, kuulizana. Yawezekana furaha ya sisi wanachama kuona picha za uwanja na kiu yetu ya miaka mingi kumiliki uwanja wetu tena kabla ya mtani...
  2. Yurri

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru

    Please, kama serikali ikitaka kumpa adhabu, Tundu Lissu...imetosha sasa! Aachwe huru sasa aendelee na maisha yake.
  3. Yurri

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Moja ya jambo zuri la mfumo wa ESS, ni namna ulivorahisisha upatikanaji wa mikopo kwa watumishi wa umma. Yaani, ndani ya siku moja au mbili unapata mkopo wako, hamna tena rushwa kwa maafisa utumishi na ma loan officers, uwazi wa kikokoto Cha Makato ya mkopo nk.. in fact faida ya Ess kwenye...
  4. Yurri

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kwanini hamuwashitaki TCRA mahakamani?

    Kwa mahakama ipi? Hehehehe (in Chaaba voice)🤣 Frankly speaking,kufungiwa kwa Jamii Forums ,ni jambo lilifanya niichukie serikali ya CCM , eti sababu ni picha za yule mhuni wa Zimbambwe akiwa Ikuru
  5. Yurri

    JamiiForums Tanzania Hofu ya watanzania wengi: Je, 2030 baada ya Rais Samia kumaliza awamu yake CCM wataweza kuleta Rais mzuri kama Samia kweli?

    Kila uchaguzi ukiisha CCM huanza kuwaza uchaguzi ujao, kamwe hawajawahi kuwaza kujenga nchi..... Moja ya sababu kuonekana Watanzania ni wajinga sana ni kuacha hadi Leo baada ya miaka 60+ ya uhuru , tuongezwe na hiki Chama
  6. Yurri

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawapenda Sana Watanzania Kwa Dhati Ya Moyo wake

    Hapa haupo sahihi,, mauji yanapotokea nchi yeyote Rais unawajibika sababu wewe ndie Amir Jeshi Mkuu....
  7. Yurri

    JamiiForums Tanzania Hakuwezi kufanya mageuzi ya polisi maana ukatili wao polisi ndio unaowawekaCCM na watu wao madarakani

    Kuna rafiki yangu wa karibu nilisoma nae chuo ni Askari Police, tena ni Afisa mkubwa tu ana Nyota tatu, Alitamka mbele yangu asingependa mwanae au ndugu wa karibu yake awe Police..! Nilishanga kwa kwl
  8. Yurri

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

    Ushauri mzuri mkuu....lakini huoni PM anazungumzia miundo mbinu iliyoharibika hazungumzii vifo vya watu , Mwigulu bwanaa!
  9. Yurri

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ufisadi hadi Uuaji: Tuwakubalie au Tuwakatilie...?

    And then , unaona wajinga wachache sana ,(Though wana nguvu ya dola) , wanapanga kuifuta mazima Jamii Forum. Mawazo haya tutapata wapi? Michango bora kama ya Paschal Mayalla kwenye Uzi huu tutasoma wapi.... Walaaniwe wote ,waliopanga na kuratibu kufungiwa JF.
  10. Yurri

    JamiiForums Tanzania Wazo la kukopa fedha benki

    Huwezi Hongera kwa kuwa na sifa ya kukopesheka, huwa nashangaa sana Watumishi wanoaogopa kukopa...utapataje maendeleo usipokopa? Familia zetu za ki Africa ni extended family, huwezi kudunduliza mil 15 hadi ununue gari, so kukopa lazima. More over usafiri ni muhimu, nachotofautiana na ww ni...
  11. Yurri

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kuchangia CCM, Yanga wameyatinyanga haswa!

    Ukwl lile ni kosa kubwa zaidi , Eng Hersi amefanya, Tumetoka kuchangia tofali la ubingwa, ambapo Wana nchi, wasio na vyama, ccm, upinzani wameshiriki, Wana Yanga watahisi chama kina pesa that's why kinaichangia ccm ambayo kimsingi hata isipofanya kampeni tunajua itashinda tu uchaguzu huu, Pia...
  12. Yurri

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusambaratika kwa CHADEMA, siasa za upinzani nchini zimebadlika

    Hizi ndio siasa za maji taka sasa,, mjinga mmoja anafurahia kutokuwepo kwa upinzani imara Ili hali umuhimu wake anaujua....
  13. Yurri

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya: Samia Kaongeza Tsh. 90,000 tu basi! hii ni dharau sana kwa wafanyakazi

    Upo sahihi Pascal, Watumishi hatupaswi kutoa lawama kwa Rais Samia, kajitahidi sanaa, tena sanaa. Angalia alivotu boost kwenye madaraja, kwenye hili nasimama na Samia kumkingia kifua!
  14. Yurri

    JamiiForums Tanzania Mazda wamezindua 3rd generation CX-5: Ina option ya Hybrid na Hakuna buttons kwenye cockpit!

    Kaka zungumza jambo kuhusu Honda Vezel....hii gari nimetokea kuikubali, vipi kuhusu budjet ake hadi mkononi
  15. Yurri

    JamiiForums Tanzania Kwako Wakili Alloyce Komba, Kama una uwezo wa kuongoza mpira mbona Yanga unaogopa kuchukua fomu na wewe ni mwanachama mkongwe kuliko injinia Hersi?

    Kwani huyu Komba nae ni mmoja ya watu waliochukua form na kukosa endorsement??
Back
Top Bottom