Hapo inabidi umtafute mtaalamu wa upimaji yeye .atachukua vipimo kwa hilo eneo na kufanya search ,Hiyo search itakuja na majibu iwapo eneo limepimwa au laaah,matumizi ya hilo eneo kama ni kwa makazi,biashara n.k gharama zake sio kubwa ni 50k - 80k
Kama majibu ya hio search mtaalamu atakushauri...
Ni sahihi hata Kwa gesi kuna tofauti ,nyingine inawaka kwa makelele mno, nyingine inatoka kwa fujo ukifungulia tu na ni ngumu kuicontrol, nyingne moto sio mkali, nyingne inaisha kwa haraka... hata compound zinazounda gesi zipo tofauti...
Kuepusha maelezo mengi anunue tu oryx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.