Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Ok nashukuruKg tunazoongelea ni ujazo wa gesi 6, 15, 38 ni gesi.
Ila kila mtungi huwa unandikwa uzito kamili wa mtung empy hapo unaweza Kuhakiki kama gesi iliyopo ni kiwango sahihi
Ok nashukuruKg tunazoongelea ni ujazo wa gesi 6, 15, 38 ni gesi.
Ila kila mtungi huwa unandikwa uzito kamili wa mtung empy hapo unaweza Kuhakiki kama gesi iliyopo ni kiwango sahihi
Shukranikama ni ule wa 'kiunoni' gesi pekee(net) ni 15kg, mtungi empty(tare) ni 15kg, jumla 30kg
sio kweli kwamba gas ni ileile. oryx ana meli yake ya gas na mihan naye ana meli yake ya gastofauti hapo ni majina tu ya Company mitungi yote ipo sawa either uwe wa 6kg ,15kg Gas ni ileile anapojazia Oryx ndipo wanapojazia mihan,ogas,lake etc kuwai kuisha ni matumiz ya mtu tz
wanaitoa wapisio kweli kwamba gas ni ileile. oryx ana meli yake ya gas na mihan naye ana meli yake ya gas
Kwani watu wanashindwa kutumia majiko ya umeme kutokana na umeme kukatika katika?inshu ni gharama kubwa ya umeme!!na wala sio inshu ya kukatikaNakushauri nunua jiko la umeme mwezi wa sita Julias Nyerere power plant inawashwa so umeme kukatika itakua historia
Hii January hii mungu atuvushe tu.Naomba kujua ndugu zangu. Kuna mitungi mingi sana sokon o-gas, mihan, taifa, manjis, lake, oryx n.k
Kuna mtu kanambia oryx inakaa muda mrefu ila mingine kidogo tu umeisha gas, pia amelinganisha bei ya oryx na nyingine akisema ipo juu kwakuwa ni bora kuliko mitungi mingne.
Sasa nawauliza ndugu zangu apa uzoefu wenu kweny hii mitungi ni kwel kuwa oryx ni bora zaid ya mingne?
Sijabisha. Ila kila 30 + mtungi kwa 70k. Kilo 30? Eniwei sawa.
Otherwise unamaanisha mtungi wa kilo 15? Mana gesi mitungi standard hata kwa puma ni 6kg, 15kg na 38kg. Nadhani uliposema mtungi wa kilo 30 ndio haikua sawa
Nakushauri nunua jiko la umeme mwezi wa sita Julias Nyerere power plant inawashwa so umeme kukatika itakua historia
Mtu wa kilo 30 pamoja na gesi hii kweli ofa maana kwingineko ni kama bei ya emptyKuna gas mpya ya Puma kwa mtungi wa 30kg wanauza 70,000 pamoja na gas kazi kwako
Ni sahihi hata Kwa gesi kuna tofauti ,nyingine inawaka kwa makelele mno, nyingine inatoka kwa fujo ukifungulia tu na ni ngumu kuicontrol, nyingne moto sio mkali, nyingne inaisha kwa haraka... hata compound zinazounda gesi zipo tofauti...Yawezekana anachosema kikawa na ukwel au hapana
Why maji ya kilimanjro yauzwe bei kubwa kuzid dasan, uhai au ata jambo wakat ujazo ni sawa
Yawezena oryx wamaweka kemikal flain ambazo uchangia gas yao kua bora
Ni sawa sawa na petrol unapoweka petrol Total bei ya mafuta yao ni tofauti na bei ya mafuta vituo vingne na ukiuliza wanasema yao ni bora na yanadawa sa sjui ni kwel au ni wizi tu