Recent content by yungsteval

  1. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Ajira za Wizara ya Afya

    Na wanaita kwa njia gani? Kupitia website ya Wizara au Utumishi?
  2. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Mnaotafuta kazi serikalini, zingatieni hili mtanishukuru

    Cha msingi tu kuwa na subira na uvumilivu Mungu anatoa kwa wakati na wala haujachelewa endelea kuomba kazi na ipo siku utakuja kufuta haya maelezo yako.Mimi nilikuwa mhanga kama wewe ila wakati ukipofika nilipata na sijawahi kuwa na connection na mtu yoyote wala sijawahi kuwa na ndugu anafanya...
  3. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kaka nimekutext PM please check
  4. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Naamimi namshukuru Mungu nimepata....nawatia moyo wenzangu ipo pia siku yenu.
  5. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Utumishi zingatieni muda wa kumaliza chuo

    Kama chuo mlienda kukariri kwa ajili ya mitihani ndo tatizo lilipoanzia......mambo yanaulizwa ya kawaida sana sema tunakosa mbinu tu kwenye kujibu lakini pia time management
  6. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Utumishi wanajua zaidi yetu ni kusubiri humu kila mtu ni mjuaji wakt wenyewe wanatega PDF litoke
  8. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    For real?
  9. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Position gani?
  10. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal

    Ednapo kwenye tangazo wamesema hivyo ni lazima....ila kama kwenye Tangazo haikusemwa hivyo sio lazima so depend na mwajiri anataka nini.....but ni salama zaidi kuweka certified.
  11. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Nimepata ajira Katavi, naomba kujua mazingira ya huko

    Mkuu ni hizi za Tamisemi au Zingine?
  12. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Usiporipoti kituo cha kazi, unaweza kuomba tena ajira hiyo hiyo?

    Njoo kasulu wewe.....mbona sisi tupo huku mwaka wa 4 huu
  13. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Natafuta website ya kufanya Psychometric Assessment for free na kupewa report

    Bila shaka ni AFRICOVID International hao.....kimbia fasta
  14. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Hizi kazi za clinica tracker chato ziliishia wapi?

    Habari wakuu eti Wenye kufahamu huu mchongo ulipoishia au waliajiri kimya kimys? Kumb. Na. CDC/05/20/89 Halmashauri ya wilaya ya Chato kupitia shirika la MDH Inawatangazia nafasi za kazi ya mkataba kwa watumishi wapatao 10 ambao watafanya kazi ya Clinical Trackers. Mkurugenzi Mtendaji wa...
  15. yungsteval

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Vitz inauzwa-Mwanza

    Nipigie itapoa kidogo
Back
Top Bottom