Hizi kazi za clinica tracker chato ziliishia wapi?

Hizi kazi za clinica tracker chato ziliishia wapi?

yungsteval

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
309
Reaction score
109
Habari wakuu eti Wenye kufahamu huu mchongo ulipoishia au waliajiri kimya kimys?

Kumb. Na. CDC/05/20/89

Halmashauri ya wilaya ya Chato kupitia shirika la MDH Inawatangazia nafasi za kazi ya mkataba kwa watumishi wapatao 10 ambao watafanya kazi ya Clinical Trackers. Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Chato anakaribisha maombi hayo kwa watanzania wenye sifa kujaza nafasi kama zilivyoorodheshwa

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe na elimu ya kidato cha 4 au 6
  • Awe na taaluma ya huduma ya kijamii na maenendeleo ya jamii
  • Awe na ujuzi wa kutumia lugha ya kisahili na Kingereza (Kuandika naKungea)
  • Awe na uwezo wa kutumia kompyuta
  • Awe na uwezo wa kufanya kazi peke ake na kwa ushirikiano
  • waombaji wenye mafunzo ya awali ya juu ya ugonjwa wa UKIMWI na huduma za jamii pamoja na ushauri watapewa kipaumbele

MAJUKUMU

i/ Kubaini wagonjwwa walioathirika na virusi vya UKIMWI ambao hawahudhurii cliniki mara kwa mara na kufanya ufuatiliaji
ii/ kuandaa orodha ya wagonjwa wasio hudhuria kliniki kwa kushiriakiana na watoa huduma za kinga ya ukwimwi kwa ngazi ya jamii
iii/ Kuingia takwmu za ufuatiliaji wa wagonjwa wa VVU katika taarifa za kitaifa
iv/ Kuhakikisha takwimu zilizopo kwenye CTC 2 card zinafanana na zilizopo kwenye CTC 2 DATABASE kwa kushirikiana na wauguzi, watoa ushauri nasaha na watakwimu
v/ Kuhakiki takwimu za CTC 2 database kial wiki
vi/ Kutengeneza mpango wa kazi wa kuborosha takwimu katika kituo husika katika mfumo wa CTC2 database na katika vyanzo vya takwimu
vii/ Kutuoa mafunzo na ushauri kwa wagonjwa wa VVU
viii/ Kuingiza takwimu kwenye mfumo kwa wakati na kila unapopokea faili za wagonjwa toka kwa mganga
ix/ Kuhakikisha mgonjwa walioathirika wanatambuliwa na wasiliamia 90%
x/ Kuandaa ripoti ya ufuatiliaji ya wiki, ,wenzi na ki robo ya mwaka
xi/ Kutoa elimu juu ya umuhimu wa kuhudhuria kliniki kwa mgonjwa na kwafamilia
xii/ Mwombaji atakayepata nafasi hii atafanya majukumu mengine amabayo atapewa na msimamizi wake wa kazi

MSHAHARA

Kwa kuzingatia ngazi za mishara ya serikali mwenye cheti atwalipwa kwa ngazi ya TGS Diploma atalipwa TGS C na shahada TGS D

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI

a. Waombaji wote wawe raia wa Tanzania na wenye umri usiozodo miaka 45
b. Waombaji wote waambatanishe cheti cha kuzaliwa
c. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na maina matatu ya wadhamini watatu wa kuaminika
d. maomi yote yaamabatane na vyeti vya taaluma pamoja na nakala za vyeti vya kidato cha 4 na 6 kw wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika
e. viambatanishoi vyote vibanwe vizuri kuondoa uwezejakno wa kupotea picha moja (Paasport) ya hivi karibuni inadikwe jina kwa nyuma
f. Testimonials na statement of results hazitakbaliwa

NB
Maombi yanweza kuandikwa kwa lugha ya kiswahli au kingereza yatumwe kwa posta na kuwasilishwa moja kwa moja kwa ofisi ya Mkurugenzi kupitia anuani ifuatayo

Mkurugenzi Mtendaji(w),
Halmashauri ya Wilaya ya Chato,
S.L.P 116
CHATO – GEITA.

Mwisho wa Kupokea maombi ni atarehe 24 januari 2019 saa 9 alasili
 
Back
Top Bottom