Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
vits nayo ni gari??
Nmekupigia simu jana ukanambia 5M.Nipo ilemela tuwasiliane
Mileage 130000 kwa 5,200,000/= duuh......
Haya mkuu subiri wasukuma wenzio waidondokee ila kwa sie wa huku dar hiyo haiuziki
Wewe sio muuzaji, gari hio million 5 ?? Sijui
Nipigie itapoa kidogoNmekupigia simu jana ukanambia 5M.
namba yangu inaishia 100.
wacha Maneno mingi, Go straight kwenye price unayouza gari,Nipigie itapoa kidogo