We nae huna unalolijua, unajifanya mjuaji kumbe huna lolote eti picha imeeditiwa.
Inamaana huoni hapo huyo askari anapiga saluti huku anatembea? Kama mtu anatembea unataka miguu iwe vipi
Kama hujui, serikali za mtaa na wilayani ni kugumu. Maana hao ndio wanakujua vzr wakikupitisha hapo huko mbele sio kugumu
Hata kama watu wa serikali za mtaa ni rafiki zako ikifika ishu ya silaha mambo hayatokuwa rahisi kama unavyofikiria
Ww umepotosha kuwa akienda polisi atapata silaha, nimekwambia polisi unanda ukiwa kwenye process za kupata kibali
Polisi hawauzi silaha wala hata hizo wanazorudisha watu hupewi. Silaha zinauzwa madukani kama unavyoona pikipiki ishu ni kibali maana huuziwi hadi uwe na kibali
Sasa kama unaona...
Nenda duka wanalouza silaha utakuta silaha tofauti tofauti watajibu maswali yako yote utatajiwa bei zake na uwezo, sifa na tabia za kila silaha
Humu huwezi kupata jibu unalotaka
Hata wilayani anaweza asifike, anaweza akakwama serikali za mtaa tu maana wao ndio wanamjua vzr hadi tabia zake
Wanajua akilewa anakuaje, na wanajua hadi sababu ya kutaka kumiliki silaha sasa hv ni nini
ukitoboa hapo huko mbele sio kazi sn
Kwanza unatakiwa uwe na akili timamu,
Nenda polisi kituo kikubwa utapewa fomu ya kuomba kibali cha kumiliki silaha
Hiyo fomu itajwa na watakujadili kama unafaa kumiliki silaha
[emoji1314]utaanzia serikali za mtaa
[emoji1314]kata
[emoji1314]wilaya
[emoji1314]mkoani
Huko kote watakujadili kwenye...
Sijui kwann uwa sizipendi sn story za makambini sijui depo mara afande flan sijui alifanyaje
Hata nikikutana na rafiki yangu nilihenya nae akianza story hizo unamkumbuka flan namwambia achana na habari hizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.