Recent content by yuleeee

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Kama watu wanakumbuka haya yakitabiriwa awali na CDM wakisema Mbatia ni CCM B sasa hayo Nape ameyathibitisha japo Mbatia na chama chake walikana....Maneno ya CDM yametiliwa sahihi na Nape.... CDM udumu
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Arusha haina hadhi ya jiji,ifutwe

  3. Y

    JamiiForums Tanzania MTAFARUKU EAC: Kikao cha Bunge la Afrika Mashariki chavunjika

    Kuwaingiza Rwanda kwenye shirikisho hili ni kams kumuingiza ngedere disco. Ona sasa
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro na Iringa, mkoa gani upo mbele kimaendeleo

    Neno Halmashauri ndio limekuchanganya...! Pole..! Ila kulinganisha Moshi na Iringa sio kabisa. Kwani Moshi iliendelea kimiundo mbinu, kielimu toka ebz za mkoloni na hawakuwapinga na hivyo maendeleo yalianza kitambo ila Iringa walipigana na mkoloni na hivyo kukawa hakuna mazingira rafk kwa...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Magesa Mulongo bado yupo Arusha anafanya kazi tena kwa bidii

    Arusha hapawezi yule! Kuhamishwa tu apelekwe mwingine mwenye kuweza mkoa sensitive kama ule. Pale mtu mwenye elimu, uzoefu na utashi ndiye anahitajika
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Distance Love

    Mimi nimeajiriwa na serikali naye huko alipo yupo kwenye sector inayomlipa vizur..... ndio maana imekuwa shughuli kufuatana. Moto unawaka moyoni sielewi cha kufanya
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Distance Love

    Wanajamvi msaada Nina mpenz wangu tumedumu naye muda mrefu (miala minne) mpaka baadhi ya ndugu zake wananifahamu. Tatizo la mchumba wangu huyu anasema hawez kuvumilia mapenz ya kukaa mbali kwani fimbo ya mbali haiui nyoka. Nimechanganyikiwa mno kwani tunakaa mikoa ya mbalimbali mpaka nimfikie...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania GE2015 Sitagombea ubunge ng'oooo..nautaka urais tu!

    Wewe nilijua lazima urespond hivi, vile tena hayupo CCM.....! Mpaka nimekariri...... nina maswali mengi kuhusu fikra zako. Wewe kama hutak kuiona waweza ipotezea si kuwaamuru mods kuifuta
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Jini mahaba linavyonitesa

    Rudi safina muelezee kila Kitu Luka mtumishi wa Mungu. Nae atakuombea, atakupa maelezo na hali hiyo itaisha
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    Too late... washauza mashamba yote kwa wachaga na makabila mengine ndo mnakumbuka. Mtajiua wenyewe msipoangalia
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mdada, njoo unipende nina sifa 10

    Nitashindwa kukuweka facebook. Sorry
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

    Mazungumzo yenye utu uzima, mrefu.. Msmart but perfume ni muhimu
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Kuchafuka

    Habari Mabibi na Mabwana. Mu hali gani? Naomba nilete uzi huu kwenu. Jamani sijui nina matatizo gani...nikitembea umbali kidogo najikuta miguu imechafuka vumbi, viatu usiseme, suruali duuuh. Jamani nifanyeje hali hii! Nataka kuwa smart. Hata nikinyata vp vumbi haliniachi. Help please. Si mzaha..!
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Likizo ya wiki

    Nisiwachoshe. Moja kwa moja kwenye mada Mpenz wako msichana anakuambia sipo sawa wiki hii na siwez kukuambia kwa nini. Nipe week moja niwaze nambo yangu. WanaJf ni wazo gani la kwanza litakujia kichwani na ni hatua zipi utachukua. Najua nyie ni washaur wazur nisaidieni ili nisikurupuke kwenye...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinawapa ujeuri wabunge wa CHADEMA?

    Wewe unaona majibu na matuc wanayotukana.... if you are good analyst orodhesha pia wanayotukanwa nao.... tuanalyse. ! Think critical... nishakunyima tabia yako ya kukurupuka
Back
Top Bottom