Jini mahaba linavyonitesa

Jini mahaba linavyonitesa

Pole sn!tafuta anointing water ya tb joshua au rudi safina as kingasti say,comfess yote watakuombea na weka imani kwa maombi,usikate tamaa nenda clinic pia ,ila naimani hata ilo jini ndio sababu ya kukupa yote hayo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Huwa naangaliaga emanuel tv ya tb joshua na hufuatilia maombezi yake na ya mwakasege. Sasa nipo mbali sana na arusha ila nitajitahidi niende tena safina.
 
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu. Nitajitahidi nirudi safina kwa ajili ya maombezi na pia naamini hata huu ukimwi ambao ninao utapona kwa yeye awezaye. Kweli nilikuwa nahangaika sana ila baadae nikikaa na kufikiria kwanini mimi nimekuwa hivi. Sijutii kuwa na ukimwi ila naumia sababu siwezi kupata mtoto tena. Naamini mungu atajibu maombi yangu siku 1. Sikuzaliwa hivi najua mungu alinileta duniani kwa malengo maalum.

Naamini bwana atasikia kilio chako
 
Mkuu tatizo kubwa hilo usifanye mchezo chamsingi weka cm no yako nikusaidie tatizo na utanikumbuka.
 
Rudi safina muelezee kila Kitu Luka mtumishi wa Mungu. Nae atakuombea, atakupa maelezo na hali hiyo itaisha
 
Mkuu tatizo kubwa hilo usifanye mchezo chamsingi weka cm no yako nikusaidie tatizo na utanikumbuka.

Pia nimkumbushe aepukane na matapeli wa mtandaoni kipindi hichi kigumu..
 
Ooh pole sana ndugu usikate tamaa, endelea kupigana shetani hana nafac jina la yesu linapotamkwa, nenda kanisani shikilia imani yako muombe mungu kila siku asbuh mchana na jioni, yote yatakwisha siku moja uwe karibu na watu walioko kiroho sana,halafu yesu anaponya magonjwa yote mshikilie tu huo ugonjwa sio kitu mbele yake, kwa msaada zaidi nipm ndugu yangu, mungu akubariki sana
 
Simama ktk imani ya wokovu kwa ukweli na usiyumbeyumbe hata kidogo
Shetani huwa haondoki moja kwa moja, akirudi na kupata nafasi atalipiza tuuuuuuu

SIMAMA IMARA KWA YESU, Utakua huru
 
Hi ni history ya kweli ya maisha yangu naomba mnishauri wadau.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29 ni mkristu na ni mzaliwa wa morogoro mwenye asili ya mkoa wa kilimanjaro.Wakati wa utoto wangu nilikuwa ni mtu mwenye akili sana.Kuanzia la standard 1 mpaka form 4 nilikuwa naongoza nikishuka sana nakuwa mtu wa pili au wa tatu.Kifupi nilizaliwa nikiwa na akili sana pia nilikuwa na nyota ya kupendwa na watu na nililelewa kwenye mazingira mazuri nikiheshimu kila mtu.
Tatizo hili lilinianza nilipokuwa shule ya msingi yaani nilipofika std 7. Nilikuwa napita karibu na mto na kuna mti mkubwa.Nilihisi nywele kusisimka na nikawa kila nikipita hapo naokota pesa. Tabia hiyo iliendelea kila siku mpaka jamaa na wazazi wakawa wananiambia nawaibia na kusingizia naokota.Mpaka namaliza std7 nilikuwa sijawahi kutana na mwanamke.Nilipofika form 2 nikibalehe bt hapo ndipo nilipoanza hisi utofauti.Nilianza kupata wet dream ila nilijua ni kawaida kama mwalimu wa biology alivyotufundisha bt cha kushangaza ndoto hizo zilikuwa ni endelevu.Mwaka huo huo nilipata dada mmoja akawa mpz wangu ila nilipokuwa namdu sikuwa nahisi raha kama ambavyo naota.Pia nikaanza tabia ya uongo, uchonganishi, unafki, hasira pia nikawa nachukiwa na wanafunzi na hata walimu bila sababu.
Nilipomaliza form 4 nilifaulu kwenda A level pindi hko nilikuwa na mwanamke m1 ambae alikuwa na mimba yangu bt cha kushangaza ile mimba ilitoka kwa mazingira ya ajabu.
Nilipofika A level nikawa na tabia ya kujichua na kupenda wanawake kupitiliza.Nilikuwa natoroka shule na kutafuta wanawake kuanzia mabaamedi, mama guest mpaka wanaojiuza nikikosa napiga punyeto huku na zile tabia zingine zikiendelea.
Nilienda chuo kikuu k1 moro na kuendeleza hizo tabia mpaka nilipomaliza chuo na kuanza kazi arusha.Wakati nilipokuwa chuo nilimtia dada m1 mimba ila pia mtoto alifia tumboni bila sababu.
Nikiwa kazini arusha mabosi na wafanyakazi wenzangu wakawa wananichukia bila sababu mwisho nikafukuzwa.
Siku 1 nikiwa arusha wakati nimefukuzwa kazi nikaenda kanisa la safina.Nilijishangaa nilipopandisha mashetani baada ya maombezi na kuanza ku confess na hayo mashetani yakasema yote tangu kuniingia mpaka walivyosababisha kuua watoto wangu pia kunisababishia UKIMWI, kuchukiwa, kutopata maendeleo mi na familia yangu yote.
Nilimshukuru mungu na kuanza maisha mapya ya maombi ila sasa kuna lingine limeibuka.Nikipitiwa na kulala bila kusali huwa naingiliwa sana kinyume na maumbile nikiamka najikuta nimechafuka.Nguo zangu za ndani zinachafuka sana.Nateswa na haya majini natamani kujiua husasani kwa vitendo ninavyofanyiwa pia mi ni muathirika bila kupenda.Nimechoka na maisha haya sijui nitafanyaje?Mnanishaurije wana jf?Natamani nikipata pesa niende nigeria kwa tb joshua kwa ajili ya maombezi.Naombeni ushauri wenu.

You are psychologically sick... huna majini wala nini...
 
Pole sana migisha, muombe Mungu afanye kitu ktk maisha yako kwa kumaanisha utapata uzima.
 
Maagano kati ya shetani ww yalivunjwa but hukuwa serious kabisa.Ninacho kushauri/jitahidi uwe karibu
1;Maombi(kufunga na kuomba)
2;kanisa
3;watumishi wa mungu
Ukizingatia hayo haitakuwa na haja hata ya kwenda nje nchi,imani yako ndo itakuponya, ukifuaata haya basi ww utakuja kuwa shuhuda kwa wenye matatzo kama hayo.Grory to god.
 
usikate tamaa ndugu tafuta kwenye maduka ya dawa za kiarabu kama altiti,karafuu maiti,kibiriti upelena shubiri nyeusi jipake kwa siku saba kama utashindwa tafuta asali ujipake kila unapo lala itakusaidia kwani hata weza kuingia mwilini mwako.punguza hofu maaa ukiwa na hofu unapoteza utukufu wako kama mwanadamu na kumpa nafasi kukutawala maana dua husaidia lakini unatakiwa kujua tofauti yako na akuombeae ni nia na una hofu gani kwa mungu gud lucky bro usikate tamaa
 
nenda maduka ya kiarabu waambie wakupe altiti,kibiriti upele,karafuu maiti,na shubiri nyeusi kisha jipake kwa siku saba au tafuta asali kisha ujipake kila usiku na kumbuka usijipe hofu kuwa havita fanya kazi kwan ndo mbinu yke kukutia hofu na usiache kujiombea kwa mungu maana hakuna awezae kukusafisha ila yeye utapona naamini
 
Nikupe pole sana mdogo wangu. Nikuulize maswali mawili naomba unisaidie kuyajibu kabla sijakupa ushauri. Je, wewe umeokoka yaani umempkea Yesu na kumfanya Bwana wako? au unapenda tu akuponye halafu uendelee na maisha yako ya kidunia? Asante nasubiri jibu
 
usikate tamaa ndugu tafuta kwenye maduka ya dawa za kiarabu kama altiti,karafuu maiti,kibiriti upelena shubiri nyeusi jipake kwa siku saba kama utashindwa tafuta asali ujipake kila unapo lala itakusaidia kwani hata weza kuingia mwilini mwako.punguza hofu maaa ukiwa na hofu unapoteza utukufu wako kama mwanadamu na kumpa nafasi kukutawala maana dua husaidia lakini unatakiwa kujua tofauti yako na akuombeae ni nia na una hofu gani kwa mungu gud lucky bro usikate tamaa
Wewe acha kumpotosha mwezio kwa waarabu ataambulia mapepo na majini mengi zaidi. Migisha usiende popote uponyaji wako uko kwa Yesu tu
 
nenda maduka ya kiarabu waambie wakupe altiti,kibiriti upele,karafuu maiti,na shubiri nyeusi kisha jipake kwa siku saba au tafuta asali kisha ujipake kila usiku na kumbuka usijipe hofu kuwa havita fanya kazi kwan ndo mbinu yke kukutia hofu na usiache kujiombea kwa mungu maana hakuna awezae kukusafisha ila yeye utapona naamini

'majini huwa wanakaa kwa mda wa siku tisini nje ya mgonjwa huku ukiwa unatumia dawa wao huwa wamejificha tu sehem wanakuja kuchungulia tu kama unatumia dawa au umetoka nje ya mstari wanarudi tena ila ukiweza kukaa imara bila kutoka nje ya mstari kwa mda wa siku tisini na kuendelea unakuwa umepambana nao na kudumu katika hali hiyo mkuu...'
 
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu. Nitajitahidi nirudi safina kwa ajili ya maombezi na pia naamini hata huu ukimwi ambao ninao utapona kwa yeye awezaye. Kweli nilikuwa nahangaika sana ila baadae nikikaa na kufikiria kwanini mimi nimekuwa hivi. Sijutii kuwa na ukimwi ila naumia sababu siwezi kupata mtoto tena. Naamini mungu atajibu maombi yangu siku 1. Sikuzaliwa hivi najua mungu alinileta duniani kwa malengo maalum.
Haya ndio mawazo ya busara na si kujiua. Pamoja na maombezi, usiache kwenda clinic pia watakushauri hasa hapo kwenye red siku hizi inawezekana. Pole sana kijana.
 
Mkuu.@migisha Pole sana una Pepo Mwanamke Jini mahaba aliye kukumba chini ya huo mti ulikuwa unaokota pesa ndie anaye kusumbuwa wewe.Ukifanya mchezo hutaweza hata kuowa na kuishi na Mwanamke.




1.KUNA KUJITAMBUA KUWA UNA MAJINI KWA NJIA MBALIMBALI.KUJITAMBUA KWA NJIA YA NDOTO NA NJIA YA DHAHIRI.


2.DALILI ZA DHAHILI.

A.KIZUNGUZUNGU.


B.VITU KUTEMBEA TUMBONI.


C.VICHEZA MWILINI.3


D.KICHWA KUUMA MARA KWA MARA.


E.KUHISI MTU ANATEMBEA NYUMA YAKO.


F.KUPIGA MIHAYO SANA.


G.MACHO KUKOSA AIBU.


H.HASIRA ZA MARA KWA MARA.


I.KUPOTEZA KUMBUKUMBU.


J.UGOMVI WA MARA KWA MARA.


K.MARADHI YA KUJIBADILISHA BADILISHA.


L.KUHISI BARIDI MARA KWA MARA.


M.KUTOJISIKIA KUONGEA HASA WAKATI UNAPOSSEMESHWA NA MTU UNAONA KAMA


ANAKUSUMBUA.


N.MASIKO KUPIGA KELELE.


O. KUHISI VITU VINAONGEA MASIKIONI.


P.KUPOTEZA HELA MARA KWA MARA KWA NJIA YA KUTATANISHA.


Q.KUHARIBIKIWA NA VITU HASA VYA MOTO.


R.MATATIZO YA HEDHI KUFUNGIKA AU KUTOKA KWA WINGI AU KUKOSA KABISA.


S.KUFUNGIKA KWA KIZAZI.


T KUSTUKA STUKA


U.MOYO KUONGOKA SAWA NA MTU MWENYE PRESHA.


V.KUPUNGUKIWA DAMU NA KUKONDA AU KUISHIWA MAJI MWILINI.


W.KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME AU ZA KIKE.


X.KUSIKIA UCHUNGU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU UNAPOMALIZA.


Y. KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOMALIZA TENDO LA NDOA.


Z.KUHISI MANUKATO AU HARUFU MBAYA.


AA.KUKOSA HAMU YA KULA AU KUBAGUA CHAKULA.


BB.MIMBA KUPOTELEA TUMBONI.


CC. KUHISI WATU WANAKUSEMESHA NA HAUWAONI.


DD.KIFAFA.


EE.KICHAA.


FF.PIA MAJINI HUMSABABISHA MWANAMKE KUWA MKALI WAKATI ANAPOOMBWA


TENDO LA NDOA.



3.DALILI KATIKA NDOTO.

A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.


B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.


C. KUOTA UNAPIGWA.


D.NDOTO ZA KUOGELEA.


E. NDOTO ZA KUPAA.


F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.


G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.


H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.


I.KUOTA UNAPIGANA.


J.KUOTA UNAPIGA KELELE.


K.KUOTA MOTO MKUBWA.


L. KUOTA UNAZIKA.


M.KUOTA UMEKUFA.


N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.


O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.


P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.


Z.KUOTA UNAONA VISUGUU.


AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.


BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.


CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.


DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.


EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..


FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE


NA KITAMBAA CHEUPE.


GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.


HH.KUOTA VIBUYU.


II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.


KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .


HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA


KWA UFUPI .NA PIA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUNIPA FAHAMU ILI NIENDELEE


KUWAELIMISHA NA KUWAFUNDISHA MAMBO MENGI YA KUWATAMBUA MAJINI KWA NJIA ZA


NJOZI PIA KWA NJIA ZA DHAHILI.WATU WENGI WANASUMBUKA NA MASHETANI ,MIZIMU,MAJINI,


MAITI LAKINI HAWAJITAMBUI SASA NAHITAJI KUWAPA ELIMU ILI MUWEZE KUFAIDIKA NAZO.


NA PIA NAWAFUNDISHA DAWA KWA AJILI YA HUDUMA YA KWANZA.ASANTE YENU


ITANISABABISHA KAZI YANGU KUSONGA MBELE HII NI MOJA YA SADAKA.


KWA SASA MAJINI NDIO WANAONGOZA KWA KUWATESA WATU ,NA KUWATIA NUKSI,NAKUWAFILISI ,PIA NA KUVUNJA

NDOA ZA WATU.



UKITAKA MATIBABU WASILIANA NA MIMI KWA NJIA YA BARUWA YA PEPE EMAIL YANGU HII HAPA

fewgoodman@hotmail.com
 
Rudi safina muelezee kila Kitu Luka mtumishi wa Mungu. Nae atakuombea, atakupa maelezo na hali hiyo itaisha

Sasa nipo mbali kidogo na arusha ila mwezi ujao nitajitahidi niende arusha. Pastor lucas namjua ndio aliyeniombea siku ile baada ya kutoa somo la "KUPAKWA MAFUTA" Nashukuru kwa ushauri wako bro.
 
Back
Top Bottom