Wakuu habarini.
Niliwahi niliwahi kusoma uzi mmoja humu ndani, unaohusu bustani ya Eden lakini nimejarbu kuutafuta nmekosa.
Naombenii mnisaidie kulingana na History, ni mahali gani hapa duniani panapokisiwa kuwa bustani ya Eden ilikuwepo, ambayo inasemekana ina sifa ya kuelea angani.
Naomba...
Wakuu habarini.
Nina omba kufahamishwa madhara yatokanayo na kutumia vumbi, madhara ya muda mrefu na yanayojitokeza ndani ya muda mfupi. Niko njia panda wakuu, nahitaji niagize mzigoo hapa kwa mwana mmoja aniletee. Sasa nahitaji nifahamishwe haya madhara nisije nikatumia halfu badae kazi...
Huwa natumia PC kupakua ila nacconect hotspot kweny simu ,,, spid yake intgemea simu kam smu n 4G hapoo itkmbizaa ,,pia 3G .. ila mi kwa sehemu nlipo naona iko fresh nkiplan kukesha kupakua movie minimum ni movie 8 hv na zote zina range kweny 1GB size
Kwemaa ,wakuu ..
Naomba msaada nahitaji application au website za kuangalizia mechi online, maana nipo sehemu ambayo hakuw uinyeshaji wa mpira, kwa week kadhaa nmekuwa namiss bundesliga
Ila leo nimepania nisikose game
Uzi tayari, nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.