Recent content by YUJAMWA

  1. YUJAMWA

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Mbeya watangaza mgomo wa kutobadilisha namba za pikipiki (na bajaji)

    Hapo kweli mnaonewa,fire extinguisher kwenye bodaboda! sijui inabebwa vipi hapo au inabebwa mgongoni kama bomba la kupulizia mimea shambani...
  2. YUJAMWA

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kuishi Mbozi comment hapa tafadhali

    Mbozi yenyewe tangu enzi zile mpaka leo hii iko vilevle hakna mabadliko yoyote yale.Ukpta shimon kule ndo choka mbaya knoma.Yann kujizeesha kuishi vwawa iliyochoka kiac kile niheri ushi TDM boda atleast inasogea mbele.So mnaipamba vwawa haina lolote,kuwaza kuish vwawa ni umburula mazee,mpango...
  3. YUJAMWA

    JamiiForums Tanzania Mwalimu asindikizwe kwa viboko

    Kwakua akifariki mwanamziki husindikizwa kwa mziki,askari husindikizwa kwa risasi na mizinga,kwanini mwalimu asisindikizwe kwa viboko?
  4. YUJAMWA

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mfanyakazi wa Umma Chini CCM wanavyomaliza siku na week yao

    Nimeipenda maada yako,watumishi wengi wa serikalini ni ovyo sana katika kutoa huduma ni bora tasisi binafsi ufanisi wa kazi unaonekana na hii ndo inapelekea watu wengi kwenda kwenye tasisi binafsi kupata huduma,lakini kwa tusio na kipato kikbwa tunaotegemea kupata huduma za kijamii serikalin...
  5. YUJAMWA

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

    Anakupima strength yako katika mapenzi yenu.
  6. YUJAMWA

    JamiiForums Tanzania Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

    Inategemea unaishi wapi,ni risk kama unaishi sehemu ambako kuna matukio mengi ya wizi,other wise lazma uingiliwe cost nyingine ya kuweka grill, ambapo adirisha ya mbao yatasave cost.Hii itategemea umejipangaje. But kama economically uko fresh tumia aluminium.
  7. YUJAMWA

    JamiiForums Tanzania Kipande cha barabara toka sumbawanga hadi mpui ni majanga!!!

    Niliskia kua bado km chache tu kuisha hiyo barabara,wakimaanisha bado toka Kaengesa hadi sba,kumbe bado km nying kiasi hicho? kweli hapo ni majanga.
  8. YUJAMWA

    JamiiForums Tanzania Kipande cha barabara toka sumbawanga hadi mpui ni majanga!!!

    Daah! Ujenzi wa hiyo barabara toka Tunduma to Sba umechakua muda! lkn msijari watu wa sba mambo yatakua fresh before election 2015.
Back
Top Bottom