Kipande cha barabara toka sumbawanga hadi mpui ni majanga!!!

HARRISON ONE

Member
Jan 8, 2014
42
30
View attachment 131134 ImageUploadedByJamiiForums1389285944.664113.jpg ImageUploadedByJamiiForums1389285988.713896.jpg ImageUploadedByJamiiForums1389286038.518192.jpg ImageUploadedByJamiiForums1389286097.080252.jpg

nadhani wana jf picha zinajieleza,tuombe mungu ujenzi wa kipande hicho ukamilike kwa wakati
 
huko ndo kwakina. kimeta wa mpui du bora hata kwetu uyui. endeleeni kuchagua. ccm
 
Daah! Ujenzi wa hiyo barabara toka Tunduma to Sba umechakua muda! lkn msijari watu wa sba mambo yatakua fresh before election 2015.
 
Niliskia kua bado km chache tu kuisha hiyo barabara,wakimaanisha bado toka Kaengesa hadi sba,kumbe bado km nying kiasi hicho? kweli hapo ni majanga.
 
Back
Top Bottom