Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,042
- 1,274
Wakuu kwa waliowahi kuishi Mbozi,tafadhari weka comment yako hapa,mimi shule ya msingi nimesoma pale Vwawa-Mbozi,shule inaitwa Haloli mwaka 1996-2002,nikua natokea kijiji cha Ichenjezya kama ilivyo ID yangu,kwa hiyo kwenda shule Haloli primary ni lazima nivuke lami,baada ya hapo Secondary mpaka chuo kikuu ikawa Dar,nakumbuka rikizo zote lazima niende Vwawa,full disco pale SHIMONI VILLAGE na NEW MEXICO in sijui kama MEXICO bado ina operate mpaka now,tupia nawe hapa,kama umewahi ishi MBOZI.......!