Recent content by Yudasti

  1. Yudasti

    Kwanini mashine za NMB na CRDB wakala ni gharama hivyo?

    Kwani huyu ni mfanyabiashara wa nini? Mbona ana wasiwasi sana.
  2. Yudasti

    Je, Rais Samia anaineemesha Zanzibar na kuiangamiza Tanganyika?

    Uchochezi huu sisi ni ndugu.Zanzibar ikiendelea, Tanganyika inaendelea.Hili jambo ni mtambuka.
  3. Yudasti

    Serikali ipige marufuku magari haya kuingizwa nchini

    Ongezea Toyota Porte, Willz na funcargo naona ni kama mende tu wapo barabarani
  4. Yudasti

    Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Hii nimependa japo inahitaji mtu mzoefu anayefahamu biashara hii kiundani
  5. Yudasti

    Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Familia ya mstaafu ipewe kipaumbele tafadhali.Sikiliza familia yako wanasemaje kwanza juu ya uwekekezaji wa hiyo 80mls.Kama hawana mawazo basi tulia kwanza kwa muda ukifanya risk assessment ya biashara na uwekezaji huku ukitafuta wataalamu ambao wako willing kukusaidia bila malipo au kwa malipo...
  6. Yudasti

    Mkopo wa Malori

    Watafute EFTA mtandaoni upate maelezo zaidi.Wanakopesha equipments kama hizo kwa makubaliano fulani.Sina details za kina ila ni kampuni nzuri mkielewana.
  7. Yudasti

    Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa — gawio (dividends)

    Somo ni zuri nitakutafuta personally kwa msaada zaidi juu ya hiki.
  8. Yudasti

    Yanga shikilieni hapo hapo! Kuna kitu Simba tunataka kujifunza

    Mie najua mechi ipo na isipochezwa basi kuna timu inaenda kulamba dume..
  9. Yudasti

    Huwezi kua baba wa familia halafu watoto na wake zako wanakupanda kichwani

    Huu sio uchawa ni uzezeta jamani.
Back
Top Bottom