Recent content by ytara junior

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta smartphone nina 150,000

    Kama upo serious nichek pm nina galaxy s2 nataka 230,000 tu.maongezi yapo.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Duh....mijitu mingine hata ikifa hakuna hasara kwa familia yake wala jamii inayomzunguka.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Ama kweli wajinga hawaishi ulimwenguni.akili mgandovkama uliyonayo haiwez kutambua athari za mgomo huu nchini.pole mzee.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mkuu cm yangu ni huawei y330 IMEI ni 863963027121735.please nisaidie ku unlock.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Hilo ndo jibu zuri.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Kama unafikiri hivyo basi niwewe peke yako au na hao wanaokuunga mkono ndo wa.pu.mba.vu.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Hashim Mbita alivyoleta uhuru wa Sao Tome and Principe

    Swali zuri....
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

    Aisee....pole sana.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Kibaha

    Mtihani ni kwamba hakijapimwa.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya za magaidi nchini na kauli tata ya Jeshi la Polisi

    Muulize advera.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Meseji hii ya mwisho mwanachuo aliyomuandikia boyfriend wake kabla hajauawa yawaliza wengi

    Yaani hata kuwakumbuka wazazi wake waliomzaa mpaka akamjua huyo beb wake imekuwa mtihani????
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    Ndo ushauri wenyewe unaotakiwa huo.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mchepuko unataka nimuache wife

    Fikria na magonjwa pia maana umesema huyo mume wake huwa anapotea kwa wiki kadhaa sasa utajuaje kama huko alipo naye ana mchepuko?
Back
Top Bottom