Recent content by ysm.WISEMAN

  1. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Je matokeo ya kidato cha sita 2019 ni halisi?

    Hapa mtoa mada anaroho ya kichawi samahan lkn kwa kusema hvyo.... Kwann unadoubt mafanikio ya mwenzio.... Whatever happens ni mipango ya M/Mungu... Na kama ni kweli pkpk yako baki nayo kama nikukuvunja miguu ikuvunje mwenyewe... Pkpk ya milion moja hyo ni mbovu wamkusudia nini huyo kijana...? Ni...
  2. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Afanye ACCA/CPA badala ya F6~> College

    CPA ni nzuri sanaa kama ukapata muongozo kuanzia mwanzo... Kama walivyozungumza waliotangulia... Kwa aliyemaliza kidato cha nne au cha sita anaweza akaanza kufanya mitihan ya Atec 1 & 2 Ndan ya mwaka mmoja kisha baada ya hapo akaendelea na foundation stage na intermediate mwaka mmoja kisha...
  3. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Mwenye vitabu vya CPA na paper kwajili ya sitting ya NOVEMBA 2019

    Wee jamaa unaakili kubwa
  4. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Kila mmoja adondoshe hapa matokeo ya jumla ya necta form six 2013 ya shule aliyo soma

    Hahahahaha huo mwaka Somo la General Study halikuacha watu salama
  5. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Bodi ya Kimataifa ya Uhasibu (ACCA) kiundani na gharama zake

    In case you need a Tutor in PM (F5) and FM (F9) Don't hesitate to call 0622 535354
  6. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una nguvu za Bata hii dawa itakufanya uwe na nguvu za Punda.

    Hahahaha sina hakika kama yanasaidia Bali yanaitwa Habat sauda Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Aise huyu atakuwa ni mpumbavu kama watu tunapoteza muda kusoma ujinga wake alaf yeye analeta post za kipuuz huo ni ushez wa hali ya juu... Na hiyo tabia aiache mara moja... La svyo Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
  8. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

    Hizi mambo muda mwingine si za kutangaza kwenye vyombo vya habar Chamcng ni dola tu kuwaibukia kmya kmya na kumalizana nao... Nini maana ya kuwataka wafike ktuo vmcha polisi..? Inamaana wanapewa muda wa kujipanga na kujua wajibu nini..? Aisee hii mambo ingependeza iende kimya kmya tu...
  9. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Kupanga nyumba ni nafuu kuliko kujenga yako?

    Cjaweza kupitia coment zote ila nimetizama chache sanaa lkn binafc naweza nikawa tofaut japo cjajua kama kunawaliojbu the way nafikiria Kujenga ni bora zaidi kuliko kupanga.. Kama unahyo 60m. Na unaweza ukaendelea na kumudu gharam aza maisha yako.. Ni bora ukajenga na ukamiliki nyumba yako...
  10. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Okay kila la kheri upate kaz ya halali....
  11. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Duh namuonea huruma huyo bnt maana matapeli walivyowengi amekwisha labda nae awe mjanja wa town...
  12. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Great principle in life that i can advice members here... "SUSPECT EVERYONE, AND TRUST NONE" Mazungumzo yake ni mazur na matam, i can buy that... Ila mtakaojichanganya kumfuata PM, say like "oh thanks for the nice post, and I'm one among job hunters without success please help" My dear...
  13. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Nauza simu ya TECNO H6

    https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=817121 Chek hiyo mwenzio anauza 85,000/= Wewe unataka 200,000/=………?
  14. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hakikisheni wanawake hawagundui tabia na misimamo yenu

    FaizaFoxy Umesahau kwamba every woman look for a successful man...
  15. ysm.WISEMAN

    JamiiForums Tanzania Looking for a best friend

    God fear!!! That's my Qualification!!!
Back
Top Bottom