lucida
Member
- Jul 6, 2016
- 18
- 9
Mimi ni binti wa miaka 20, naishi tabata dar es salaam....elimu ya ngu ni kidato cha nne,.natafuta kazi yoyote itakayoweza kunipa kipato.. ninajua kutumia computer ( Word, Exel, power point, publisher and Internet) nlisoma DIT(Dar es laam Institute of Technology) lwa yeyote anaewwza kunsaidia kupata kaz npo tayar kufanya kazi yoyote
natanguliza shukran zang za dhat na mungu awabariki
natanguliza shukran zang za dhat na mungu awabariki