Wabunge wa CCM akiwemo ngugai wamegungua kuwa wananchi wamewaweka kwenye Micriscope,wakijichanganya tu,2015 hawana chao,Nadhani wanajua kilichotokea Arumeru
Ngoja niwakumbushe kigodo
KATIKA KATA 19 NA VITONGOJI VYOTE VILIKUWA CHINI YA CCM,MWANA CDM NASS JOSHUA AKASHINDA UBUNGE.hii inamaanisha...