Poleni sana majeruhi, poleni wafiwa mpaka sasa.
Mola awapeni tahfifu majeruhi wote inshallah, Zuberi ni moja ya mabasi ninayoyaamini sana katika njia ya Mwanza-Dar kwenye usafirishaji wa abiria na vifurushi. Huzuni!
Si uungwana hata kidogo kutukanana, hasa uongeapo kupitia simu ya mwenza. Binafsi huwa sithubutu kutumia simu ya mamsap wangu, inaepusha uhuru wa privacy.
Eid Mubarak!
Leo waziri akiongea kwa soft tone, kabla waziri alikuwa na a bitter tone.
Hii ndio ionyeshayo kuwa, hawa wenzetu ni vigeugeu na wanajutia waliyoyakusudia hapo kabla.
Kwa JK na msimamo wake, namuomba asiyumbishwe na haya matamko ya kunusuru msimamo wa serikali yake...
Napata taabu kuielewa Tanzania ya 2020-2030 itakuwaje katika sekta ya elimu na hili rika la vijana wanaofanyiwa mipango ya kuendelea kwa masomo ya juu ilhali kitaaluma wamefeli.
Poleni sana majeruhi, laana hii itawarudia waliofadhili ugaidi huo. Hamkutegemea kupata maumivu hayo ambayo leo hii yamewasibu.
Mola Mtukufu na awapeni ahueni na mpone haraka, poleni nyote.
Hivi kweli upo kanisani kwa ibada....au upo mithili ya kivuli tu? Ninachoamini, uwapo kwenye ibada huwezi kushika simu au kufanya jambo min'ghairi ya ibada pekee.
Mkuu Ben Saanane
Naridhika sana na uchambuzi wako huu wa masuala ya kimataifa, nimekushiba kwa hili.
Tukiacha mambo mengine ya siasa za ndani na namna yanavyojiri, ningeishauri sana Chadema hapa jukwaani ikakutumia zaidi katika masuala ya kimataifa 'kurugenzi ya mahusiano ya kimataifa', naamini...
Nakuunga mkono kwa hili, ni ukweli kuwa kutakuwa na regional war pale midle east. Japo wengi hii vita imekaa ki-ushia na ki-usunni ambapo Iran, Iraq na Lebanon kupitia Hizbollah chini ya Hassan Nasrallah wakimuunga mkono zaidi Bashar al Assad.
Ila kwa hiyo explosion, kuna dalili ya amani...
Mkuu Ben Saanane
Hapo nilipo-highlight, vipi juu ya utawala wa Zia-ul-Haq pale Pakistan ulikuwa na mrengo gani kuulinganisha na mrengo wa Zulfikar A. Bhutto?
Ni kweli kabisa ulimwengu wa kiarabu umegawanyika kabisa na waliopo madarakani ni vibaraka tu, wote wapo upande wa magharibi na ukiangalia hata base nyingi za kijeshi za Marekani zipo Arabuni.
Upande wa Palestine, ulilisahau kundi jingine la Islamic Jihaad (Brigade). Ni ukweli usiopingika juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.