Recent content by Youngstunna79

  1. Youngstunna79

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Wasambaa wana uzuri gani[emoji848][emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Youngstunna79

    Wanywaji wa Soda hatarini

    Bidhaa zote zeńye madhara huwa zinakiwaga na ujumbe wa onyo kama pombe na sigara Mbona sijaona kwenye soda huo ujumbe ya kuwa unywaji soda kupita kiasi ni madhara kwa afya yako[emoji57][emoji57][emoji57]
  3. Youngstunna79

    RC Makonda ni mbunifu na mchapa kazi, pamoja na mapungufu ya kitaaluma anayodaiwa kuwa nayo

    Alikuwepo yusufu makamba na Abbas kandoro!!!! Wote hao walikuwa majembe kama gaucho
  4. Youngstunna79

    RC Makonda ni mbunifu na mchapa kazi, pamoja na mapungufu ya kitaaluma anayodaiwa kuwa nayo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. Youngstunna79

    RC Makonda ni mbunifu na mchapa kazi, pamoja na mapungufu ya kitaaluma anayodaiwa kuwa nayo

    Una ushahidi na unachoongea hapo juu au ndo kutafuta kiki kwa pikipiki!!!! Una ushahidi Gani wakuu WA mikoa waliopita hawakuwa wasomi na wabunifu!!!!! Acheni sifa
  6. Youngstunna79

    RC Makonda ni mbunifu na mchapa kazi, pamoja na mapungufu ya kitaaluma anayodaiwa kuwa nayo

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hii ya kwako Kali [emoji115] Mzee yusufu makamba na Abbas kandoro utawaacha wapi !!!!! Acheni kupiga kelele !!! Nendeni mkafanye kazi!!!!
  7. Youngstunna79

    RC Makonda ni mbunifu na mchapa kazi, pamoja na mapungufu ya kitaaluma anayodaiwa kuwa nayo

    Hata viongozi wengine waliyafanya hayo katika wakati wao wa uongozi!!! So hakuna makonda alilofanya jipya kuwazidi hao waliowahi kuwa wakuu WA mkoa WA dar es salaam!!!
  8. Youngstunna79

    Natafuta kazi, nimesoma mass communication

    Theoretically speaking yes!!! Ila twende kwenye reality ndugu yangu utasugua gaga mpaka umalize mawe!!!! Ingekuwa hivyo wauza mahindi wangekuwa mabilionea
  9. Youngstunna79

    MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

    From my point of view!!!hivi vinatokea kwa sababu hakuna sheria na utaratibu!!! Kinachotakiwa ni 1. kuwe na tume inayowaregulate madalali na isajiliwe serikalini 2. kila dalali asajiliwe kwenye hyo tume na agewe leseni 3. Kuwe na sheria itungwe kabisa ambayo itaregulate na kucontrol hii...
  10. Youngstunna79

    Mbunge wa CCM Lazaro Nyalandu anavyocheza na akili za CHADEMA

    Asnte kwa maoni yako na mchanganuo wako!!!sasa kashike jembe ukalime ili tuweze kuleta maendeleo katika nchi
  11. Youngstunna79

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Toka lini chungwa likawa sawa na chenza au mmojawapo kumzidi mwenzake!!!! Kamwe haitotokea coz each of the city has its unique feature
  12. Youngstunna79

    Nape na Nyalandu mjiandae kisaikolojia kufutwa

    Sasa hv ni mwendo wa kuleta maendeleo!!!!siasa ni mwaka 2020!!! Kama wakiyaleta hayo mambo !!!basi watakuwa wamevunja miiko waliyoiweka wao na itawagharimu
Back
Top Bottom