Recent content by youngmillionaire

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zauza miti ya mbao aina ya PINE

    nasikia mkishawauziaga watu miti Huwa mnaichoma moto au kumuua mnunuaji kimazingara
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Man Pacquiao ndani ya kanzu

    Sio mkatoliki ni mlokole na hana mpango wa kuslim
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Itafika sehemu watanzania watashindwa kuwagua Ukawa# nikweli tunahitaji Upinzani ili kuikosoa serikali nakutoa mawazo mbadala sasa unatoka nje na unawaacha ccm wanaendelea kufanya yao then unaishia kulaumu....
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu watano wenye nia ya kweli ya kutaabika sasa ili tutanue baadaye inshallah

    Huyu animal scientist kiukweli hajajipanga. Unahitaji watu5 watakaotoa 1ml/ head ili mtaabike baadae mtengeneze pesa . hujaainisha hizo 5ml mtazifanyia nini ili baadae mneemeke
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli wayahudi milioni 6 waliuliwa na Hitler?

    Naona umejisahaulisha kuwa Hitler ni Myahudi aliezaliwa Austria na kukulia German
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Acha watunyime misaada tujifunze kujitegemea. Hizo pesa wanatupatia kwa mSharti kibao. Tutashirikiana na nchi zilizotayari kusaidizana nasi
Back
Top Bottom