Natafuta watu watano wenye nia ya kweli ya kutaabika sasa ili tutanue baadaye inshallah

mbegubora29

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
502
329
Naomba wajitokeze wanne angalau kila mmoja awe na lengo la kuchangia milioni moja ili tuunde kundi la watu watano tutengeneze kundi la ujasiriamali lkn mie mwenyewe ni mtu wa tano bila ya kusahau pia mie ni animal scientist kwahiyo kama ni mtu mwenye nia naomba aniPM please
 
mimi ni food-scientist and technologist
 
lkn any way km unania kwel we utakuwa mtu wa pili hivyo tufanye subira wengine waje ila sio maneno maneno ya jamii forum ya kuku wa kienyeji watano kuleta milion kadhaa bila ya kutanabaisha zipi changamoto kwa wakulima au wafugai wenyewe zinazowakumba
 
Habari mbegubora29. Ni jambo jema kufikiria njia za ziada za kujikwamua kiuchumi. Ninaweza kuwa sehemu ya hao watu watano....ila naomba unipe vision na mission ya kikundi. Pia kama inawezekana itasaidia kufanya uamuzi wa kujiunga kama uta-hint malengo ya kikundi
 
Hapa mwanzoni tu kuna tatizo tena kubwa je huko mbele sijui hali itakuwaje.
Animal Scientist? Mhh hayaaa

Ushauri:-
Muanzishaji wa lengo lolote la mradi au kikundi,ni lazima awe na mission na vision ya mradi husika,maana hapo naona kuna watu wanataka kujiunga bila hata kujua nini kinachofanyiwa malengo.Hapo ni kwamba mnaongelea suala la Share.
Na biashara au mradi wowote lazima uwe na interest nao ndio uingie,la sivyo utaona unaburuzwa tuu na utakuwa unabahatisha
Na ndio maana hata kwenye Soko la hisa kuna bidhaa nyingi then mtu unachagua wapi ununue hisa kwa interest yako na biashara husika.
Sasa wewe ungetoa lengo,then wengine wachangie kwa muono wao.Huwezi tu kirahisi kusema 5m yenu itumike bila kujua mnaenda kufanyia nini.Maana hapo unaweza kukuta eti wewe ndio mtendaji mkuu.

Animal Scientist jipange mkuu,wewe ni mwana sayansi,huwezi kukurupuka namna hii
 
Huyu animal scientist kiukweli hajajipanga. Unahitaji watu5 watakaotoa 1ml/ head ili mtaabike baadae mtengeneze pesa . hujaainisha hizo 5ml mtazifanyia nini ili baadae mneemeke
 
Muongozaji,zanzibar spice na youngmilionare ebu naomba ushirikiano wenu mie binadamu sijakamilika na hakuna project iliyokamilika kwa mtu mmoja kwahiyo ni jambo jema sana ukasema WAZO ZURI lkn naona lifanyike hili na hoja yangu sio uongozi kwan mie ni mtaalam uenda sijui ethics yoyote ya uonhozi hivyo tukiwa wengi tutafqnya jambo na kwa idad yetu tukikamilka tutapanga mengi na tutakuwa na mission na vission as group kwann muhofie ndugu zangu au mnataka story za kilimo cha mapapi huku picha umeitoa kenya as a demo plot.
 
Naomba wajitokeze wanne angalau kila mmoja awe na lengo la kuchangia milioni moja ili tuunde kundi la watu watano tutengeneze kundi la ujasiriamali lkn mie mwenyewe ni mtu wa tano bila ya kusahau pia mie ni animal scientist kwahiyo kama ni mtu mwenye nia naomba aniPM please

Ni lipi lengo la mradi
 
Kaka unaishi wapi mi niko dar?
 
Kama utaona inafaa kutengeneza kundi au kuwa mmojawapo wa kufanya mambo endelevu ni pm ila mbele ya watu mia kutafta watu watano ni tabu kidogo kwahiyo km nia yako ni nzuri kuwa mpole
 
Huyu animal scientist kiukweli hajajipanga. Unahitaji watu5 watakaotoa 1ml/ head ili mtaabike baadae mtengeneze pesa . hujaainisha hizo 5ml mtazifanyia nini ili baadae mneemeke
Mi naona lengo lake anataka wakipatikana wakae orally na kujadili kwa kina his idea
 
mie nikotanga korogwe hivyo lazima tuwe wa kweli jmn kwan kuna tabu gani tukitengeneza kundi kwanza hlf mengine yafuate
 
naomba sana mwenzako akithubutu mpe moyo sio kumuona tapeli kuona amekurupuka na kuona animala scientist ni kilaza kwan hata ukiwa mtaalam wq mambo ya project utafanikisha vipi hiyo project bila ya chain hivyo ni idea tu isifikie hatua tukaonana matapeli kwan kikundi ni hiari kuingia tusipeane ubaya ndugu zangu!
 
Sasa mkuu licha ya kuwa na lengo zuri kila naona kuna tatizo sehem, umewezaje kukadiria kiwango cha 1M kwa watu wa 5 wakati inaonyesha hata nini kinahitaji kufanyika hakijakubalika au hakipo kabisa? Nafikiri ungekuja na wazo lako kisha ukaliuza kwa wadau, ungepata wakukuunga mkono.

Kila mmoja wetu anatamani sana kuwa na chanzo cha ziada cha mapato, tofauti unakuja hapo kwenye wazo linalotekelezeka na endelevu. Kila LA kheri mkuu.
 
Back
Top Bottom