Recent content by Young Tanzanian

  1. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

    Bwana ametoa na bwana ametwaa...Mungu Ampokee Amen
  2. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutumia zaidi ya shilingi Bilioni 1.5 kutangaza nia Arusha

    Lowasa kwa siku Vodacom anaingza Tsh 2 bilion hiyo si ela kwa lowasa sema lingine alafu tutajie mgombea wako
  3. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania CCM wakimpitisha Lowassa, UKAWA wanafanya sherehe asubuhi kabla ya kampeni

    Achen porojo za bar lowasa ukawa mnamtaman msiwe wanafiki
  4. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Masters of Health System vs Masters of Public Administration

    Fanya masters ya public administration itakusaidia kuwa na uwanja mpana sana cz tayar una degree ya education kuna jamaa yangu alisoma education udsm bdaye akaenda kusoma masters ya hr mzumbe kwa sasa ni.meneja mzuri wa hr kwenye kampuni kubwa. ..health unakua umejbana sana na serkalin haina...
  5. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania The tourist destinations targeted by terrorists

    hii dini inayofundisha kuua binadamu wengine ni ya kishenzi sana
  6. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa CCM, Mgeja, Diallo na Msukuma, Timu Lowassa, Membe na Mwigulu kuifuta CCM kanda ya Ziwa

    Mkuu hii naweza kuita post ya mwaka ...mwgulu Ni team lowasa. ..nchimbi team lowasa...Ngeleja(mwanza) ni team lowasa masha(mwanza)team lowasa apa naona kifo cha ccm waspomptsha lowasa
  7. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CCM: Hatua ya kwanza

    moja ya watu ninaowaamini sana apa jamvini ni mzee tupatupa wa lumumba ...tunawasubir ccm wakosee wamnyme lowasa nafasi ya kugombea urais ili tuwape wapnzani
  8. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Mrisho Ngassa atua club ya Orange Free South Africa

    hongera ngasa ulifanya makosa dili la al hal ya sudani ila ulijifunza simba na yanga ni viwanda vya kuua viwango vya wachezaji alafu wanakutelekeza...achana na starehe na ndoa za kila siku wewe ni kijana mdogo kuoa ovyo kunakupotezea malengo hiyo iwe chachu ya kwenda ulaya usiishie apo...
  9. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Mrisho Ngassa atua club ya Orange Free South Africa

    naomba nikutolee lugha chafu...pumbafu ujitambui tunaomba kila sku wachezaji waende kucheza nje hususani afrca kusini na ulaya unaleta habari za wazee wa yanga apa nahsi ujasoma wewe...nisamee ila ujtambui japo mimi nimwanachama hai wa yanga kwanza hii timu iendeshwe kama kampuni hizi akili maji...
  10. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Kama Sekretarieti na NEC CCM White House watakumbuka haya, Lowassa asipoteze muda

    chadema na ukawa ata vkao vyenu vya siri mmepanga kuhakikisha mnamchafua lowasa kwa nguvu kuelekea uchaguzi kwani ndye mgombea wa ccm ambaye ni threat hususani mijini na vijijini ushaidi upo na tape zpo za vkao
  11. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Kama Sekretarieti na NEC CCM White House watakumbuka haya, Lowassa asipoteze muda

    ARV Ni mbaya sana zkpanda kchwani toka familia ya nyerere ikutose kwa kuchafua jina lao na kujiita mwanaukoo unasaka tonge njaa mbaya sana
  12. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuongea na Wananchi 14/05/2015 kupitia Clouds FM

    Tutuvuka daraja tukilifikia...Ma Presdent is lowasa siwezi kuongozwa na njozi na mzee wa watabiri a.k.a joka la mdmu......iwe ni kupitia ccm au kuptia familia yake yeye ndye rais wangu mtarajiwa na nitahakikisha mimi binafsi namtaftia wapga kura 1000 moja kwa Jina la Yesu na Mungu anipe uwezo
  13. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

    achene kujiarishia kwenye mitanddao lowasa ndiye rais wetu huyo membe wenu na wauza unga wake kwanza ubunge wenyewe alipewa gari na rostam ya kampeni yeye anaakisi nini....shame on u guys and joka la mdmu group ela za gadafi zimewalaani rambirambi lazma iwatokee puani ila mjue mtairudsha...
  14. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

    mimi ninachojua team membe ndiyo inayoongozwa na wauza unga hatutaki nchi iwe ya kina masogange na matajiri wao lowasa anafanya clean bussines na znafahamika...watu wote wanaomuunga mkono lowasa ni watu wanaojitambua ....team mdmu presha inawaua
  15. Young Tanzanian

    JamiiForums Tanzania UN wameachia kazi, best before March 09

    Mkuu jamaa wapo smart sana wanakuandalia document zote ukfaulu huwa hawababaishi
Back
Top Bottom