Sekretarieti ya CCM: Hatua ya kwanza

Sekretarieti ya CCM: Hatua ya kwanza

Kuna majina matatu umeteleza.
Prof Anna Tibaijuka, Dr Harrison Mwakyembe na Dr Asharose Migiro, hawa wote hawajawahi hata siku moja hata kuonesha nia ya kuutaka urais. Acha kupotosha umma.

Kama hao hutaki, basi ongeza
  1. Amina Salumu Ali
  2. Emmanuel Nchimbi
  3. Nahodha
  4. Balozi Karume
 
Mkutano wa Sekretarieti ya CCM ulioisha usiku wa manane wa kuamkia leo umeibuka na mpya ya 2015. Habari za kuaminika toka kikaoni zinadokeza kuwa Sekretarieti imeamua na kupendekeza kuwa makada wote waliotangaza kuwa hawatagombea Ubunge,wasipitishwe tena majimboni wakikosa Urais.

Sekretarieti imebainisha kuwa hilo litapunguza mvutano majimboni kwakuwa tayari wameshachomoza makada wa kuwapokea vijiti walioaga. Sekretarieti inapendekeza watakaokosa ugombea wa Urais wasubiri nafasi za kuteuliwa endapo CCM itashinda uchaguzi ujao.

Wazo kama hili lilikuwepo 2005 na 2010 lakini wengi waliokosa kugombea Urais waligombea Ubunge majimboni mwao. Mwaka huu itawezekana. Tusubiri tuone. Watangaza nia wakae chonjo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
moja ya watu ninaowaamini sana apa jamvini ni mzee tupatupa wa lumumba ...tunawasubir ccm wakosee wamnyme lowasa nafasi ya kugombea urais ili tuwape wapnzani
 
Hii siyo habari kwa sasa! Jambo pekee tunalotaka kujua ni: Is Lowassa IN or OUT ?????? Tunataka kujua kwamba, Chama Cha Mapinduzi, kinaweza kweli kumpitisha Mtoa Rushwa NA.1 na Fisadi papa Lowassa, kuwa mgombea Urais, ambaye pia ndiye atakayekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, ambacho kiapo chake cha nne katika viapo vyake vya wanachama, kinasema,"RUSHWA NI ADUI WA HAKI. SITAPOKEA WALA KUTOA RUSHWA", au atatupwa katika hatua za mwanzo za mchakato??????
Lowassa ndio raisi wa tano, hakuna wa kumzuia !
 
Mkutano wa Sekretarieti ya CCM ulioisha usiku wa manane wa kuamkia leo umeibuka na mpya ya 2015. Habari za kuaminika toka kikaoni zinadokeza kuwa Sekretarieti imeamua na kupendekeza kuwa makada wote waliotangaza kuwa hawatagombea Ubunge,wasipitishwe tena majimboni wakikosa Urais.

Sekretarieti imebainisha kuwa hilo litapunguza mvutano majimboni kwakuwa tayari wameshachomoza makada wa kuwapokea vijiti walioaga. Sekretarieti inapendekeza watakaokosa ugombea wa Urais wasubiri nafasi za kuteuliwa endapo CCM itashinda uchaguzi ujao.

Wazo kama hili lilikuwepo 2005 na 2010 lakini wengi waliokosa kugombea Urais waligombea Ubunge majimboni mwao. Mwaka huu itawezekana. Tusubiri tuone. Watangaza nia wakae chonjo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)

Ina maana Lowasa, Membe na Mwandosya na Nchemba hawataonekana tena bungeni au?
 
Nikajua wamemjadili LOWASA tena!.....Maana Nape na Lowasa ni zaidi ya Paka na Chui!
Mkutano wa Sekretarieti ya CCM ulioisha usiku wa manane wa kuamkia leo umeibuka na mpya ya 2015. Habari za kuaminika toka kikaoni zinadokeza kuwa Sekretarieti imeamua na kupendekeza kuwa makada wote waliotangaza kuwa hawatagombea Ubunge,wasipitishwe tena majimboni wakikosa Urais.

Sekretarieti imebainisha kuwa hilo litapunguza mvutano majimboni kwakuwa tayari wameshachomoza makada wa kuwapokea vijiti walioaga. Sekretarieti inapendekeza watakaokosa ugombea wa Urais wasubiri nafasi za kuteuliwa endapo CCM itashinda uchaguzi ujao.

Wazo kama hili lilikuwepo 2005 na 2010 lakini wengi waliokosa kugombea Urais waligombea Ubunge majimboni mwao. Mwaka huu itawezekana. Tusubiri tuone. Watangaza nia wakae chonjo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
 
Kwa hiyo EL atakuwa mbunge wa kuteuliwa siyo..

Kinachonistaajabisha ni hiki inakuwaje mtu kama Lowassa na mihisa yake yoote inayomwingizia pesa kila siku na kwa hali aliyonayo ni muda mzuri wa kupumzika na kula bata dubai, marekani popote pale duniani huyu mzee aweza ishi bila mawaa huku akiponda maisha, ina maana anataka kutuaminisha anauchungu sana na wananchi wa hii Tanzania kuliko Mwl .JULIUS K.NYERERE? Ni nini kipo nyuma ya pazia kuutaka uraisi kwa uchu namna hiyo wakati baba wa wa Taifa alishasema ,

Ikulu ni mahali patakatifu ukimwona mtu anakimbilia ikulu huyo ni wa kuogopa kama ukoma

Ama kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa kusoma hatujui hata pichaaa.
 
Back
Top Bottom