Mimi sio mtaalam wa political science au mambo mengineyo ya kiutawala, lakini this is not right na kwa namna moja au nyingine mh dc anaingilia shughuli za baraza la madiwani na halmashauri kwa ujumla.
Itoshe kusema Msando ana jambo lake Arusha mjini 2025 na naona likitimia.
Nilichosema ni kuwa
" Pili nitoe masikitiko yangu kuwa nchi hii kuwa na msimamo tofauti na rais ni kosa this is not right.
Freedom of expression is paramount"
Sasa ume edit kutafsiri utakavyo na kunipa upande. Hebu elewa kwanza kabla ya kukurupuka
Naunga mkono chanjo naanze na hilo.
Pili nitoe masikitiko yangu kuwa nchi hii kuwa na msimamo tofauti na rais ni kosa this is not right.
Freedom of expression is paramount
Yote haya aliyataka mwendazake lakini.
A national team player
Two times mvp
Top assist
8 premier league gosls
Two medals
Asee unamlinganisha na
Tk master
Title 0
Goals 2
Assist 0
Medals 0
Nationsl team player 😂
Kesi kufunguliwa Zanzibar.
This was very smart move, case ingefunguliwa bara ingechukua mda mrefu kukamilika, Zanzibar hakuna case nyingi kama dsm/bara.
Sasa baada ya order ya payment of 7.5Billion what next.
Kwa sasa Fatma anasubiria tu copy of decree aanze ukazaji hukumu/ execution...
Ni upumbavu kwa timu ambayo imechukua premier league 4 consecutive times, FA twice na caf champions league quater finals twice kudhania kuwa yanga ndo adui yake mkubwa, this kind of thinking kwako na viongozi wa mpira ndo inaturudisha nyuma.
Mbumbumbu fc manara asiwatoe njiani kwenye malengo...
Hoja yako ni mfu
Mo teyari ana TV rights za premier league kwa miaka kumi pamoja na za kombe la shirikisho.
Labda home match za simba kwenye champions league ambazo hazizidi 15.
Ndio naweza kuwa mdogo kiumri lakini historia haidanganyi vita vya kagera tulikurupuka tungeweza kuiepuka kidiplomasia kwa kutumia vyombo vya kimataifa lakini mwalimu alitaka kumrudisha rafiki yake obote madarakani.
Pili ndiyo shilingi yetu ilikuwa na thamani baada ya vita uchumi ukayumba Imf na...
Huo msimamo ndo ulisababisha
Bidhaa kupungua nchini
Sukari kuadimika
Watu kupanga foleni kununua sukari, sabuni na dawa ya meno
Mafuta kuadimika
Na uchumi kudidimia kabisa
Mpaka nchi ilipomshinda nyerere akaona ajiuzulu.
Kama ndo hiyo misimamo unaizungumzia tuambie ilitufikisha wapi !?
Story za vijiweni hizi, kigamboni imeuzwa wapi, lini na bei kiasi gani. Kama huna proof endelea na dabokick zako uache story za vijiweni kwenye hili jikwaa
Sio kweli kwamba wahudumu wa afya ni lazima kuchanjwa, ama toa muongozo au tamko la wizara ya afya au who kuthibitisha.
Vinginevyo unabaki kuwa mwehu na mpuuzi unayeongea bila takwimu.
✊hell yes to free market economy acha soko lenyewe lijiendeshe atakayeshindwa ku compete afee.
Huu ndo ule ujima wa kuzui watu wasiuze maindi nje kisa watakufa njaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.