Recent content by young MathematiciAn

  1. Y

    Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa Kundi la Kigaidi waliouawa nchini humo ni Watanzania

    Hao ni wale wa kibiti walikimbilia pori la mtwara kisha msumbiji Fuatilieni basi press za IGP sirro kila anapoongea
  2. Y

    Joe Biden ashinda rasmi uteuzi wa Chama cha Democratic kugombea nafasi ya urais nchini Marekani

    Trump atashinda kwa asilimia kubwa Biden anaonekana na natives Americans weupe.. wekundu washapotea saizi natives ni whites huyu mpenda ushoga makamu waOobama atagaragazwa vibaya mistake nyingine ya Democrats
  3. Y

    Ukweli wa Nyungu: Waliotuvusha mapambano ya COVID 19 ni Rais. Magufuli, Prof. Tibaijuka, Jaffo ndiyo washindi wetu

    Unaona aibu kuonyesha utamaduni wako na asili yako hata china wanajisifu na ancient medicals zao tizama movie zao wanavyojitapa nazo na kuwa proud nazo na hawaoni aibu..wewe na huyo jamaa wa Haiti ni wakupigwa masarara una bahati umeandika kupitia keyboard If you know your history,Then you...
  4. Y

    Kwanini Serikali inadharau sana Buza?

    Kila mtu anaishi sehemu kulingana na kipato chake Huwezi kumpeleka mtu mahala chumba 60,000 pesa ya umeme 20,000 kwa mwezi 80,000 na wakati kipato chake 200,000 au 300,000 mwisho wa mwezi ..
  5. Y

    Polisi wanajuaje bei za madawa ya kulevya?

    Swali la kipuuzi kuwahi kulisikia nini maana ya intelijensia? Polisi wanawajuaje majambazi si jntelijensua inafanya kazi kama mimi mlala hoi najua bei ya ngada sembuse serikali isijue?
  6. Y

    Leo ni siku ya 34/35 tokea nipumzike kuvuta bangi

    Haha hamna kiongozj mjani ni kitu special inabidi kidogo mwili kuupumzisha kuweka sawa Mia mia
  7. Y

    Leo ni siku ya 34/35 tokea nipumzike kuvuta bangi

    Wala sivyo bado sina mzuka nao nimeshajiwekea mikakati nilikuwa natoa la moyoni na kuelimisha kimtindo
  8. Y

    Leo ni siku ya 34/35 tokea nipumzike kuvuta bangi

    Sawa sawia kiongozi nimekupata vilivyo..
  9. Y

    Leo ni siku ya 34/35 tokea nipumzike kuvuta bangi

    Nilinuia kupumzika kuvuta Mmea wa Bangi kuanza kwa mwezi wa Ramadhani na ninashukuru leo ni siku ya 35 ama 34 sijavuta mmea wa Bangi na sisikii addiction yoyote au ile hamu ya kwenda mbio na sikupata shida toka siku ya moja. Wavuta madawa ngada na wavuta sigara huwa hawawezi kabisa kuacha au...
  10. Y

    Nini hasa sababu ya Iran kutaka kufunga strait of hormuz?

    Onyesha ni lini iran alishambulia taifa lolote au kuingilia taifa lolote lile kwa njia haramu pamoja na NK pia.. Tupe historia au record ya iran..kama hakuna mbn unasema wanatengeneza ili waipige usa wakati wanatengeneza ili wajihami na udictator wa USA mwenye record chafu ya kupiga nchi za...
  11. Y

    Sitosahau siku niliyomuona Jini lakini Bangi ilimkimbiza

    magomen mapipa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Y

    Sitosahau siku niliyomuona Jini lakini Bangi ilimkimbiza

    Katika maisha yangu ya ukuaji utotoni mpaka ujanani kwangu nimekuwa nikiwasikia viumbe aina ya majini tuliambiwa majini ni viumbe visivyoonekana na wanatisha sana na wengi tuliogopa kukutana na viumbe hivi wa kusadikika licha ya kutowahi kuviona. Wapo ambao wanaamini uwepo wao na wapo ambao...
Back
Top Bottom