Nini hasa sababu ya Iran kutaka kufunga strait of hormuz?

Nimeongelea kuhusu kuzuwia nchi zingine kutokua na silaha za Nuclear na zingine kua nazo hizo silaha,hapo ndio nimebase,uwe unasoma na kuelewa kwanza.
So kwa maoni yako,kila mwenye uwezo wa kumiliki nuclear amiliki tu,,?..
 
Nacheka point zako dhaifu mkuu...Hivi kwa nini nyie ma pro Iran huwa mna hasira sana kwenye comments zenu?..
Unataka niandike unachokitaka kukisikia wewe? wewe umejuaje kua point zako ni za maana? huna hoja piga kimya kijana,unakwepa maswali yangu na kuruka ruka kama Kuku aliyekatwa kichwa na kuachiwa ghafla! jibu post yangu 46#
 
Hao wanaomiliki wana nini cha ziada? huyu US anayemiliki ndiye ambaye kisha itumia na kuleta madhara huko Hiroshima na Nagasaki.
Any way...Kipindi kile cha WWII ilikuwa ni struggle for power dominance,yeyote mwenye silaha yeyote angeitumia tu ili kubaki salama,Kipindi hiki kipo tofauti kidogo,huhitaji masilaha makubwa ili ku survive,Ndo maana hata US na Russia wanajitahidi kuyapunguza.Sasa inatokea nchi fulani inataka kumiliki Nuclear hapo hapo wanaahidi kuifuta nchi nyingine kwenye ramani ya Dunia.Halafu unataka asiwepo wa kukemea?..Mfano leo Itokee nchi iseme anataka kuifuta Belarus kwenye uso wa dunia,unafikiri Russia watakaa kimya?...
 
Tumia akili basi japo kidogo tu,Iran hata kama katoa vitisho ila ni vitisho,BUT hawa US wao wameitumia kabisa hiyo Nuclear kupiga Hiroshima na Nagasaki,ndio taifa pekee ambalo limeshaitumia hiyo silaha! acha ushabiki wa kijinga.
Bandiko langu in kwa nini Iran inataka kufunga Strait of Hormuz nashanga wenye vichwa vya panzi wanarukia vitu vidogodogo kuliko dhana nzima niliyoelezea kuhusiana faida na hasara za kufungwa kwa Mlango bahari wa Hormuz na akina nani watanufaika ikiwa kutatokea vita kati ya Iran na Marekani.Nilitarajia utaleta na we we maoni yako kuhusu hilo cha ajabu umekuja na Mihemko yako na chuki zako kuliko kutoa mchango wako wa mawazo ili sote tufaidike.
 
Unataka niandike unachokitaka kukisikia wewe? wewe umejuaje kua point zako ni za maana? huna hoja piga kimya kijana,unakwepa maswali yangu na kuruka ruka kama Kuku aliyekatwa kichwa na kuachiwa ghafla! jibu post yangu 46#
Yale yale,sasa hayo maneno yoote yana ulazima gani..daaah :D
Nshakujibu mkuu..
 
Hahahaha naomba kukujibu mkuu!

North Korea wana tengeneza silaha za Nuclear ili kupiga taifa la Marekani.
Iran anatengeneza silaha za nuclear ili kupiga Marekani na washirika wake.

Israel alitengeneza hizo silaha ili kujilinda dhidi ya maadui zake.
Pakistan alitengeneza kujilinda dhidi ya India ambaye ni adui yake.
India alitengeneza kujilinda dhidi ya Pakistan.

Utaona tofauti hapo juu kuna nchi zilitengeneza na zinazoendelea kutengeneza, hakuna ushahidi wa wazi hata wasiri wakuthibitisha kuwa India na Pakistan wana hizi silaha za hatari kabisa ila kuna propaganda.

Iran huwa hawezi kumshambulia Israel kwa sababu hiyo.
BTW silaha za nuclear zinauwezo wa kukuathiri hata wewe uliyeko mbwinde huko usishabikie uundwaji wake wala kuwepo kwake
Onyesha ni lini iran alishambulia taifa lolote au kuingilia taifa lolote lile kwa njia haramu pamoja na NK pia..

Tupe historia au record ya iran..kama hakuna mbn unasema wanatengeneza ili waipige usa wakati wanatengeneza ili wajihami na udictator wa USA mwenye record chafu ya kupiga nchi za watu hovyo

Hebu tuone hoja na sio pumba aise
 
Bandiko langu in kwa nini Iran inataka kufunga Strait of Hormuz nashanga wenye vichwa vya panzi wanarukia vitu vidogodogo kuliko dhana nzima niliyoelezea kuhusiana faida na hasara za kufungwa kwa Mlango bahari wa Hormuz na akina nani watanufaika ikiwa kutatokea vita kati ya Iran na Marekani.Nilitarajia utaleta na we we maoni yako kuhusu hilo cha ajabu umekuja na Mihemko yako na chuki zako kuliko kutoa mchango wako wa mawazo ili sote tufaidike.
Mkuu Pro Iran huwa wana Hasira sana kwenye comments zao,hawataki jadili hoja,ni matusi na kejeli tu...
 
Onyesha ni lini iran alishambulia taifa lolote au kuingilia taifa lolote lile kwa njia haramu pamoja na NK pia..

Tupe historia au record ya iran..kama hakuna mbn unasema wanatengeneza ili waipige usa wakati wanatengeneza ili wajihami na udictator wa USA mwenye record chafu ya kupiga nchi za watu hovyo

Hebu tuone hoja na sio pumba aise
Proxies war za Iran Middle east unazijua lakini?.Unaona ni sawa kuendesha proxy war against nchi nyingine mkuu?...Hamas,Hezbollah,Hauthi..
 
Onyesha ni lini iran alishambulia taifa lolote au kuingilia taifa lolote lile kwa njia haramu pamoja na NK pia..

Tupe historia au record ya iran..kama hakuna mbn unasema wanatengeneza ili waipige usa wakati wanatengeneza ili wajihami na udictator wa USA mwenye record chafu ya kupiga nchi za watu hovyo

Hebu tuone hoja na sio pumba aise
Naona umeuliza na kujijibu mwenyewe kutokana na chuki kukuzidi soma hapo niliko bold na rangi nyeusi.

Kwaheri
 
Umeandika kishabiki kama unabishana kwenye ligi ya EPL,huyo marekani ndiye ameshatumia silaha za Nuclear huko Hiroshima na Nagasaki,kila nchi inayo haki ya kumiliki silaha iitakayo,kwanini wengine wawe na Nuclear na wengine wasiwenayo? Think big kijana.
Malengo ya umiliki yanatofautiana na ukubwa wa silaha unatofautiana, N.k wanatengeneza nuclear missiles zinazoweza kusafiri umbali mrefu unategemea kutakuwa na usalama kwa dunia?

Ungekuwa unauliza maswali ya hivi au kunikosoa kwa namna hii tungeelewana ila ukirudi kule kwenye ufala huko ndiko niliko zaliwa
 
Bandiko langu in kwa nini Iran inataka kufunga Strait of Hormuz nashanga wenye vichwa vya panzi wanarukia vitu vidogodogo kuliko dhana nzima niliyoelezea kuhusiana faida na hasara za kufungwa kwa Mlango bahari wa Hormuz na akina nani watanufaika ikiwa kutatokea vita kati ya Iran na Marekani.Nilitarajia utaleta na we we maoni yako kuhusu hilo cha ajabu umekuja na Mihemko yako na chuki zako kuliko kutoa mchango wako wa mawazo ili sote tufaidike.
Nilichokiquote toka kwako ni comment yako na sio bandiko,elewa hilo kwanza,nimeongelea issue ya silaha za Nuclear kutokana na tamko lako kwenye comment sio kwenye thd,

Umeweka bandiko vizuri ila comment zako zikaanza kuja kishabiki kama vile unashabikia upande mmoja,nina wasiwasi kua hata hilo bandiko si ajabu umelicopy tu somewhere na kulileta hapa,maana akili ya thd yenyewe na comment unazoweka baada ya thd haviendani kabisaa! kwahiyo wewe ndio kichwa cha panzi aliyekatwa mabawa.
 
Back
Top Bottom