Recent content by young gun

  1. Y

    Wafungwa wataja vigogo dawa za kulevya

    mkuu mbu wa kwenye korodani hapigwi kofi
  2. Y

    Mzazi mwenzangu niliyetoka naye siku ya Christmas nimeachana naye, kumbe kuna jamaa alikuwa anatembea naye

    Hujatufahamisha mkuu ilikuwaje kuwaje hadi ukagundua anakusaliti na pia alijibu nini baada ya kumkamata redhanded weka situation wazi zaidi ili upate ushauri na msaada sahihi.. ila pole sana mkuu najua maumivu ya kuchapiwa
  3. Y

    Mama yake alimuachia laana 'kamlalia vibaya', mambo yake yanamuendea kombo

    Mkuu nipo tofauti nawewe kidogo japokuwa unaonekana umesoma sana vitabu vya dini... Mtu yoyote anaweza kukulaani katika haki yake.. ukiachana na mambo ya kidunia katika roho na kweli mungu ametuumba kila mtu na haki yake na sisi sote ni watoto wake.. Ikitokea umemdhulumu mtu haki...
  4. Y

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Hizo zote ulizozitaja si sababu mkuu tatizo la huu mchezo ni kuanza tu mara ya kwanza ukauzoea... unakuwa unajirudia automatically.. usimshawishi mtu ajiingize madhara yake ni mengi sana achilia mbali hayo ya nguvu za kiume yapo mengi hata ya kimaisha ingawa hayasemwi tu hadharani
  5. Y

    Samatta na Diamond nani zaidi kwa kipato

    Haya mambo ya mshahara wa mtu wala si ya kubishana ila kuna watu wanasimamia kucha kupinga vitu wasivyovijua... Samatta analipwa£51000 kwa wiki mahesabu mengine ongezea mwenyewe hapo
  6. Y

    Samatta na Diamond nani zaidi kwa kipato

    Samatta ndo analipwa pesa nyingi kuliko wote pale Aston villa
  7. Y

    Samatta na Diamond nani zaidi kwa kipato

    acha mambo yako ww makato yake si zaidi ya47% it means bado kwa mwezi anabaki na kama m200-300 mazembe nani atakulipa hiyo pesa
  8. Y

    Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

    mke mwema utamjua wakati wa shida ukiona upendo upo pale pale hakika umepata mke ila si hawa ukifulia mnabaki marafiki ukipata hela ndo wanakuja speed ndugu yangu hao ni kwa matumizi tu si vyombo vya kabatini
  9. Y

    Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

    huyo mwanamke wa mjini umekutana naye nawewe ingia tu kichwa kichwa.. ogopa sana mwanamke aliyekuzidi nyakati yaani mchezo mzima anaucontrol yeye akiamua kukuchunia anakuchunia akiona mambo yake hayaendi anajirudisha tu kwako.. utakuja kulia zaidi ya kambale nasisi tukikutana naye tunamla bila...
  10. Y

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Congratulations mkuu wewe ndo unastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu😅😅 Punyeto siyo nzuri kwa ambaye hajapiga au ndo yupo katika hatua za mwanzo atabisha hadi atakaposhuhudia madhara yake, wengi wanaitetea na wataendelea kuitetea hadi hapo itakapowasaliti na wakatamani kuiacha hapo ndo...
  11. Y

    Pumzika kwa Amani Ka' Abdallah. Tusipende kuchukua sheria mkononi tutaua watu wasio na hatia bure tTu

    humu humu wapo wadau wa kupiga wezi wametulia wanasoma comment.. unafika unakuta watu wanampiga mtu nawewe bila kuuliza unaamua kumalizia stress zako kwa mwizi bila kujua kaiba kweli au la
  12. Y

    Pumzika kwa Amani Ka' Abdallah. Tusipende kuchukua sheria mkononi tutaua watu wasio na hatia bure tTu

    we bibi kwahiyo Uislamu ndo wizi? hakika pepo utaisikia tu maana wewe ndo kinara wa kupandikiza chuki na matabaka
  13. Y

    Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

    Hivi kwanini Kapombe hupenda sana kutumia ishara ya msalaba au si muislamu? ila si vyema kupromote mambo ya kidini kwenye mpira inaweza ikachochea fujo au mgawanyiko maana mpira ni mchezo wa furaha na ni mchezo wa wote labda iwe ni kwa kumshukuru mungu kukufikisha hapo ulipofika otherwise si...
  14. Y

    Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

    Akihitajika anauzwa muda wowote mkataba haumzuii kuuzwa kule si kama bongo ukimtaka mchezaji hadi usubiri mkataba uishe.
Back
Top Bottom