Mkuu najua wewe utakuwa mdogo kwangu, nakushauri kama kaka ako.
Ni hivi pamoja na uzuri wa huyo mwanamke na upendo ulio nao kwake lkn achana nae mara moja.
Sisi kaka zako tumepitia hayo na tulijaribu ku force yalitutokea puani.
Najua wewe huna kasoro yeyote ile, utapata mke mzuri na mwenye tabia njema.
Najua utaumia kuachana nae, lkn unaweza kuachana nae tena ni leo sio siku nyungine.
Ogopa sana mwanamke anae penda kujua kipato chako na hata ukioa baadae usikubali kusema kiasi cha pesa unacho lipwa, ukiona umebanwa sana mwambie kiasi kilicho pungufu
Sent using
Jamii Forums mobile app