Recent content by yote

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

    Kiukweli wanajitahidi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Replacement ya Kitenge Kwa Massanja mkandamizaji ni uzalilishaji wa taaluma ya habari,mimi nilikataaa kuwa kasuku!

    Inasikitisha sana kwenye TV/Magazeti unakuta wameandika Tehama badala ya TEHAMA, Tamisemi badala ya TAMISEMI kiufupi makosa yapo mengi kwenye uandishi sijui nini tatizo
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Arusha kumejaa wazungu volunteer, whay not Mikoa mingine?

    Hivi uwa wanakaguliwa utendaji wao wa kazi na mamlaka husika?ama wajiendea tu kienyeji maana niliwahi shuhudia wazungu wanafundisha Shule flani ya Sekondari kule Mbeya walikaa kama miezi 2 then wakasepa sikuona wakikaguliwa.Ila jamaa wanajali sana muda
  4. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya upangaji na wake za watu na niliyowahi kuyashuhudia

    Hizi ndoa zina unafiki sana ni kumuomba Mungu tu, maana mambo ni mengi siyo mchezo iwe mwanaume/mwanamke ni full kusalitiana maana kuna kipindi mnachokana hisia zinapotea kabsa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

    Hali ya nn kwa mfano? Changamoto kubwa ya handeni ni upatikanaji wa maji ya uhakika mara nyingi maji yasiyokuwa na chumvi ndoo ya lita 20 ni Tshs 500 ambapo yanatokana na visima vya kuvuna maji ya mvua au shs 300 kutoka kwenye mabwawa yaliyochimbwa na Serikali.Ukipata nyumba/chumba mitaa ya...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

    Inategemea unatarajia kuishi wapi maana kuna Halmashauri mbili kiutawala ambazo ni Halmashauri ya Wilaya na Mji Handeni, Ukiwa Wilaya eneo la Mkata limechangamka kidogo ila Maji ni changamoto na nyumba za kupanga ni shida kidogo kwa upande wa Mji nyumba/vyumba vya kupanga vipo vizuri ukiwa...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Viwango vya Michango ya Mwenge kwa Watumishi

    Bila kusahau ziara za viongozi wa Kitaifa Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
  8. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizigua wanafaa kuolewa?

    Wanapenda sana kuzaa jiandae kulea ukizubaa watoto watapishana Mwaka 1, suala la kamati ya Ufundi wapo vizuri hawaamini mapenzi bila ndumba. Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
  9. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fungo kwa wachepukaji. Je, ni kweli haya mambo yapo?

    Kuna ka ukweli flani
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Historia ya mkoa wa Tanga

    Hata Wilaya ya Handeni ina Shule ya kidato cha sita, Shule inaitwa Handeni Sekondari mwanzo ilikuwa O-level tu lakin sasa hivi imeongezewa na A-level kwa boys ina zaidi ya miaka 3
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Brevis inahitajika ofa ml 5

    Me natafuta Rav4 short chases used bajeti yangu mil 5 huku kwetu maporini inafaa sana mwenye nayo plz
  12. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHADHARI kwa wale wanaopenda kufanya mapenzi na wasichana wa ndani wa kazi

    Hii ni kweli kabsa kuna kuna ndugu yangu alikuwa na bint wa kazi yupo strong enough gafla hali yake ikachenji,kumpeleka hospital ugonjwa hauonekani lakini anazid kudhoofika kila kukicha hakuna aliyedhania binti anaweza kuwa na ngoma baada ya miezi ikagundulika alikuwa anatumia ARV toka akiwa...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania IFM: Mwalimu Elli Doriye anakera, anaharibu chuo

    Ukiwa nje IFM unaweza hukumu sana wanafunzi wa pale kwamba ni mabishoo,masistadu lakini ukweli haupo hivyo nimesoma hapo intake ya kwanza degree 2008/09 mwaka wa 2 ilikuwa balaa sitasahau course kama OOP,Networking,system analysis & design,walimu Koloseni,Otaigo,mohamed aka muarabu wa...
  14. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufukuzia hadi kusafiria penzi

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ujinga kumtumia hela mwanamke wakati hujawahi kumgegeda

    Kuna graduates nilikutana nae kila wiki ananiomba nauli ya kwenda interview nje ya mkoa,nikafuatilia nikagundua ni usanii nilipo onja tunda nikaingia mitini.mizinga ya kila Mara inaboa
Back
Top Bottom