TCU hawana shida mkuu. University of Rwanda ni chuo kikubwa sana. Na hyo miaka minne sio shida maana wao wanasoma miaka mitatu bila kwenda field then mwaka mwisho wote ndo wanafanya field.
Mkuu shukurani sana kwa observations zako kwa DIT Kampasi ya Mwanza.
Mwaka huu wa masomo DIT Campus ya Mwanza zimeanzishwa programmes nyingine mpya ambazo nadhani NACTVET walisahau kuaupdate guidebook yao na kuziorodhesha.
Kwa sasa DIT Campus ya Mwanza inatoa course zifuatazo.
1. Leather...
[emoji3][emoji3][emoji3]Hamna mkuu Mwenyezi Mungu akitupa hyo nafasi tutende haki tu.
Mfano mzuri mimi wakati nasoma olevel kuna mwalimu alikuwa ananichukia sana na kunichapa sana kwa sababu zisizoeleweka and by that time alikuwa ni Diploma holder. Baada ya muda aliamua kwenda kujiendeleza...
[emoji3][emoji3] usifanye hivo mkuu maana kuwa academician unatakiwa kuwa mlezi pia. Na unatakiwa kutenda haki bila kumuonea mtu. Speaking as the experienced academician.
Muombee course kati ya hizi course mbili utanishkuru badae.
1. Ordinary Diploma in agro bioprocess Technology.
2. Ordinary Diploma in leather Products Technology.
Zote zinapatikana DIT Campus ya Mwanza na zote anapata mkopo full kutoka Loan Board.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.