wewe acha utani kupata kazi ni kazi,ukifika uko wanakupa posho ya siku 7 kulingana na cheo ulicho ajiriwa,mim nimmoja wapo wa watu tuliopangiwa miji ya mbali yaani polini,tulifikia ofisini asubuhi tukatafutiwa chumba cha kujihifadhi kwa siku mbili tatu.Ukichelewa wataweka watu wao alafu ubaki...
Tena sio Zimbabwe ya sasa hivi,itakuwa niyakipindi kile Mgabe anapambana na nchi za wenyewe.Ila hongera na kumbuka kuwatumikia wananchi ambao wanakulipa hela hizo usije ukaanza kuwafanyia viburi kama vile njoo baadaye,kesho...........................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.