Tuliitwa 1020 tanapa(assistant a/c)wakabakizwa 30,wanahitaji 10.nhif wameitwa 1824 wanaitaji 4. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuliitwa 1020 tanapa(assistant a/c)wakabakizwa 30,wanahitaji 10.nhif wameitwa 1824 wanaitaji 4.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kanoutinho, Aug 15, 2012.

 1. K

  Kanoutinho Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa hawa NHIF walihesabu tu hizo appl letter na kujua walioomba? Au wanao watu wao ndoo maana hata hawakuchuja?

  NBAA inamaana ktk wa2 700 mpaka 900 waliofanya hiyo interview Je hamna hata wa2 20 waliopata max za juu sawa yaani zikafanana??

  NB: NI BORA HIZI KAMPUNI ZIKAWAZI NAITA WALE BEST 20 KAMA WANAITAJI 10 MPAKA 15.
  - NINI UMUHIMU WA KUAMBATANISHA VYETI NA TRANSCRIPT, WORKING XPRNC.


  "NASUBIRI BOMU LA WASIO NA AJIRA LILIPUKE"
   
 2. K

  Kongi JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Tena huu mlipuko utakuwa zaidi ya Tunisia na Misri.
   
 3. m

  markj JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mmh! nhif? tanapa? watu wanaenda kwenye interview basi tu, tutafanya nini,ila watu 1000 kwa wa 4 tu!
   
 4. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na bora lilipuke tu,maana tushachoka na huu usanii
   
 5. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  COASCO unaambiwa wamerudia mtihani wa chuo cha HOMBOROfor written. Watu full mabanda.
   
 6. M

  Mohamedmussa Ng'onye Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha isiwashangaze..tushafanya ZA ivyo sn.. muhim kuomba MUNGU na kueondeleZA harakat
   
 7. Y

  YOSAYOSA Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutapambana mpaka kieleweke,tusikate tamaa wakubwa
   
Loading...