Recent content by yorkshire

  1. yorkshire

    Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) uchuro wa taifa

    siku hizi nimekuwa kimya tu na kuangalia mambo yanavyojiendea askofu kaongea kweli ya nini kilichopo moyoni mwa watanzania wengi kuna chuki kubwa sana ya wanyonge kutwezwa na kudharauliwa na utawala huu wa sasa wanyonge hawana kimbilio zaidi ya kusubiri matukio kama haya na kujitokeza na...
  2. yorkshire

    Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    mheshimiwa wamama sasa hivi mmekuwa wakorofi sana yaani mno mifumo yote ya haki duniani miaka ya hivi karibuni imekuwa kwa ajili ya kumlinda mwanamke tu mwanaume kusikilizwa kwenye mifumo ya haki ni ngumu mno pia mmeanzisha ujambazi wa kumfilisi mwanaume na bila huruma mnarudi tena na panga...
  3. yorkshire

    Kilimo Cha mpunga kinalimwa mikoa mingi Tanzania sio Mbeya na Morogoro watu walivyo kalili

    mchele wa arusha unaujua kweli wewe!?? ni mchele ambao hauna ladha hata kidogo kilo huuzwa buku kushuka chini kwa arusha kifupi hauuziki
  4. yorkshire

    Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

    umeokoka vp na bado unatupia picha za wadada wenye misambwanda kule kwenye uzi wa picha za pisi kali
  5. yorkshire

    Serikali ya Iran madai ya Israel siyo ya Kweli, yakanusha vikali kurusha makombora kwenda Israel

    Israel wameanza kuniangusha kbs cease fire ya nini !??? mkong'onto unapaswa uendelee kikamilifu mpk Iran asurrender
  6. yorkshire

    Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

    hakuna shida ndio maana wanaliwa vichwa wanasayansi wenu Kwani kuna shida??! mwenye nguvu ............
  7. yorkshire

    Mwanasayansi mwingine wa nyuklia auliwa katika mashambulizi ya anga ya Israel

    kosa la iran ka mdomo ka kutaka kuifuta israel ndio kosa lilianzia hapo kabla hajaanza mikakati ya nuke alisemaga atakuja kuifuta israel umeelewa kwanini haruhusiwi kuwa na nuke
  8. yorkshire

    Ya nini waarabu kununua silaha ambazo hawawezi kuzitumia.

    Ulipoingiza tu upumbuvu wa Wapalestina uzi wako umekuwa hauna maana yeyote Tulishasema Wapalestina wapigwe kwelikweli maana Oct 7, Myahudi hakumchokoza mtu
  9. yorkshire

    Waasi wa kihusi wa Yemen waishambulia Kwa makombora mazito ya masafa marefu maji ya Jerusalem na Tel Aviv

    jamaa hata hajaelewa nini kimeandikwa kachukua tu na kujiandikia
  10. yorkshire

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    mkuu naomba connection ya hii nahisi type ya uganda huo wimbo ilikuwa inaucheza inaitwaje
  11. yorkshire

    Nataka kuagiza VW Touareg V6

    achana na hiyo chukua gls 63 kama hii
  12. yorkshire

    Nilikua namsapoti Trump na Elon lakini kwa wachina naona bado hajapata funzo kwa walichofanya Huawei kipindi kile

    kwa hiyo wewe unamzidi ufahamu Elon Musk na timu ya washauri wake wote kwamba hawakuangakia mbele nini kitatokea!!!!!? huna unachokijua juu ya mkakati wa hawa miamba nadhani hata kipindi cha kampeni ulidhani Trump atapigwa chini kwenye uchaguzi hao ni akili kubwa
  13. yorkshire

    Bonnie Blue afanya mapenzi bure na wanaume 1,057 ndani ya masaa 12

    😂😂😂😂😂huwa nafurahi sana coments zako
  14. yorkshire

    Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

    2013 niliwahi kufanya kazi shuleni kwake INTEL (Arusha)kule chini Muriet/Mkonoo acha ile ya Sakina kipindi hicho anamalizia malizia kusomea mambo ya uongozi kiujumla huyu sista alikuwa mchapakazi na asiyependa uvivu na uzembe Muirak wa watu alikuwa muwazi sana na ukizingatia alikuwa na itikadi...
  15. yorkshire

    Je, ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinaruhusu kuua wasio Waislamu?

    mnahangaika hicho kifungu kukipata muiteni MK 254
Back
Top Bottom