Nataka kuonyesha kuwa mashabiki wengi wa Ronaldo hawana akili japo sio wote kuna vipengele hapa nitaviweka hapa na utambue kuwa wewe kama utaamini Ronaldo ni bora kuliko Messi basi Huna akili timamu
1. Magoli 900+ sio kigezo cha mchezaji kuwa bora kuliko mwingine lakini hii inaonyesha kwamba...
Sio mate ya nyoka😁😁
Hapo ukiangalia vizuri Kuna kimdudu fulani kipo ndani ikitokea mnyama kamla bila kutafuna na kumuua yule mdudu anauwezo wa kuduplicate kwenye tumbo la mnyama na hivyo mnyama atakonda na kuwa dhaifu, huwa najua wanaitwa ndorobo
Ee bwana wanyamwezi walikuwa na huyu mzee ambaye kwa sasa ni MarehemU, alikuwa jembe na nusu.
Huyu mzee alikuwa awe chief baada ya baba yake Andrea Sazia, lakini uhuru ndipo ulipatikana na hivyo uchief ukawekwa pembeni, huyu mzee alitokea familia ya kitawala huko kwa Wanyamwezi walioshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.