Ni mnyama ama mdudu gani unayemuogopa kuliko wengine?

Ni mnyama ama mdudu gani unayemuogopa kuliko wengine?

Sijui kwann ujanja wangu woooote huyu mdudu wa kuitwa WASHA WASHA na mimi tuko tofauti kabisaaaaa.

kuna yale mengine makubwa, manyoya meusi yana mapembe my God hata sasa mwili umesisimka walai.
Same to me! Na ukidume wooootee kwa hayo majamaa naweza hata kuzirai! Nimerithi kwa bimkubwa...

Bora nikutane na chatu kuliko duduwasha aisee...
 
Same to me! Na ukidume wooootee kwa hayo majamaa naweza hata kuzirai! Nimerithi kwa bimkubwa...

Bora nikutane na chatu kuliko duduwasha aisee...
Hahaha bora chatu kwa kweli ila sio wale funny thing hawajawahi kunitambaa hata kidogo ajabu nawaogopa sana tangu mdogo.

unayajua yale ya kwenye mwembe uwiii ngoja ninyamaze.
 
Same to me! Na ukidume wooootee kwa hayo majamaa naweza hata kuzirai! Nimerithi kwa bimkubwa...

Bora nikutane na chatu kuliko duduwasha aisee...
Yapo misituni yana urefu wa hadi 6inches!

Mimi niliwahi kugoma kurudi skuli ile likizo ya form2-form3 kwa sababu ya hayo madude hadi nikahamishwa .. Yalikuwa yamefurika kwenye miti kila kona pale skuli; madarasani, bwenini, bwaloni, chooni, etc. Nyoka nao walikuwepo ila wao sikuwaogopa hata kidogo...
 
Kunguni baba, kunguni balaa ukitaka nikeshe na kesho yake niage bila kuoga wala kapiga mswaki nilaze kwenye kunguni...Na kama kuna uwezekano ntaondoka usiku huohuo...
 
Napenda sana nyoka
Ila kuna siku jamaa alinialika weekend kunywa coffee
Aliniacha sitting room akaenda tengeneza kahawa.

Nikiwa naangalia tv nikasikia ubaridi kwenye shingo

Anyway sitaki kuwaogopesha ila yalinikuta na kupenda kwangu viumbe hao
Story hii
 
Back
Top Bottom