Recent content by yope

  1. yope

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapenda simu za Samsung?

    Natumia Redmi Xiomi 10c toka 2022 ila changamoto yake kubwa ni kioo kuchezacheza na kujibonyeza bila kuguswa, hii hali inanikera sana hadi nimeichukia hii kampuni...unaweza mpigia mtu ukashangaa imeanza kurecord mazungumzo yenyewe ,mwanzon niliipenda hii kampuni nikasema nitanunua redmi 13 au 15...
  2. yope

    JamiiForums Tanzania Ipi simu yenye kamera nzuri kwenye low light budget ya 350k mpaka 700k used?

    Mkuu chief-mkwawa nina budget ya 800k ni simu gani nzuri ya kuchukua kati ya samsung au pixel? Naomba ushauri wako...binafsi nilikuwa natamani pixel 8 pro ila iwe mpya na siyo used, Kikubwa ninachotaka ni simu inayokaa na chaji na yenye performance nzuri
  3. yope

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu zile ajira za walimu zimeshaisha? Kuna madogo walifaulu oral mpk sasa hawajui hatma yao.
  4. yope

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hizi ajira za walimu zinazotoka mtu akipangwa Wizara ya Elimu anaenda kufundisha shule gani? Kuna dogo yeye hajapangwa halmashauri bali wameandika tu Wizara ya Elimu. Msaada kwa anayejua.
  5. yope

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sawa mkuu....So kwenye website yao watayatoa waliofaulu oral siyo?
  6. yope

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hivi wakuu matokeo ya oral huwa yanatoka kwenye akaunti ya mwombaji au inakuaje? I mean kwa hawa walimu walifanikiwa kuingia oral matokeo yao ya oral watayaonea wapi? Kuna dogo yupo bush alifika oral ya mojawapo ya somo ndo anaulizia matokeo.
  7. yope

    JamiiForums Tanzania Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

    Mkuu una pdf la huu usaili?
  8. yope

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naweza kubeti mkeka zaidi ya mmoja unaofanana katika kampuni moja? Mfano nampa Arsenal ashinde, mkeka wa kwanza naweka 200k, alafu mkeka mwingine naweka 300k?
  9. yope

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Naomba bei za hisense na TCL 32' mkuu. Smart na ya kawaida.
  10. yope

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakubwa game ya taifa stars kesho dhidi ya Guinea naona ina odds tamu na zinapanda tu , sahv ni 3.25... nataka nitie 100k, Je mlioitazama hiyo Guinea wapo vzr? sijabahatika kuwaona mechi ya juzi dhidi ya DR Congo.
  11. yope

    JamiiForums Tanzania Ajira za Afya na elimu

    Masharti gani hayo?
  12. yope

    JamiiForums Tanzania Mitaa yetu mingi haina nafasi za wazi kwaajilli ya kupumzika. Huwa unaenda wapi kupunga upepo?

    Mkuu unapajua Dolly Estate? Kuzuri sana kule.
  13. yope

    JamiiForums Tanzania Itambue GPT-4o na Zana Zaidi kwa Watumiaji wa Bure wa ChatGPT

    Hii kitu huwa siielewi, naomba msaada wa link niidownload mkuu
  14. yope

    JamiiForums Tanzania House4Sale Pagale linauzwa Msumi

    Mbona huo ukuta wa upande wa kulia umepinda sana?
Back
Top Bottom