Recent content by yonga

  1. Y

    Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida

    Mkuu ufugaji wa kuku wa mayai kwenye cage unaweza kuongeza uzalishaji kuliko kufuga kawaida,naomba elimu kuhusu zile cage.
  2. Y

    Unajua stori ya mtu ambaye alipotea tu ghafla na hajulikani kama yuko hai au amekufa?

    kujogomeja,kuchumira,kuporora,chabo,fonka,longo,sesa,ng'anda Yani Kuna maneno uliongea sehemu nyingine hakuna atakaye kuelewa
  3. Y

    Unajua stori ya mtu ambaye alipotea tu ghafla na hajulikani kama yuko hai au amekufa?

    Kanda ya ziwa fundi akitoka duarani inabidi akabidhi kazi yake kwa idara ya ukaguzi lasihivyo roller inashushwa chini hakuna kazi kuendelea mpaka waji ridhishe ufungaji ni muhimu Sana unaweza kuua watu kimasihara kabisa
  4. Y

    Unajua stori ya mtu ambaye alipotea tu ghafla na hajulikani kama yuko hai au amekufa?

    Ndio maana geita Iko tofauti kidogo na Kanda zingine kwenye uchimbaji Kama chunya maana Kanda ya ziwa lazima watu wa idara ya ukaguzi(inspectors) wapite kila duara na hata Kama wasipopita msimamizi wa duara lazima aandike orodha ya wanaoingia duarani kila siku na muhuri unapigwa na kwenye majina...
  5. Y

    Ukipanda Mimea au miti inazuiaje nguvu za Giza na uchawi.

    Kuna unga unaitwa usembe wanasema ni kiboko ya wachawi Yani ukiweza hata kuweka kwenye maji ya kunywa mchawi akinywa anakata moto Ila sasa sijui ni unga unaotokana na mmea gani Pia nimewahi kusikia mbaazi ukipanda nyumbani u nafukuza wachawi
  6. Y

    Miji na vijiji vinavyokuwa kwa Kasi Tanzania unaweza kimbilia kutafta pesa huko

    1.masumbwe 2.Igunga 3.Nyarugusu 4.Nzega Ongeza na hiyo!
  7. Y

    Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji

    Ni kweli,na pale sehemu ya kunywea ni juu ya chamber/mashimo ya choo juu wameweka makuti pembezoni mwa hostel za cardinal rugambwa
  8. Y

    Mikoa mipya Tanzania

    Kakola haipo geita ipo shinyanga chief.
  9. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We unatumia ipi mkuu au zote melbet na hiyo paripesa?nataka kujiunga moja kati ya hizo,ushauri wako mkuu
  10. Y

    Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

    Pia wanawake huwa wanaondoka na watoto Kama ngao au kiunganishi Cha mawasiliano na matumizi fulani maana wengi wao huwa wanakua hawana uhakika na wanakoenda akiwa na mtoto anajua hata akisema anaumwa lazima utatuma tu pesa za kuhudumia hata Kama haumwi
  11. Y

    Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

    Huwa una fuatilia channel inaitwa Discovery ID,Kuna cases nyingi sana unsolved na pia kipindi kinaitwa perfect murder ndani yake,ni channel nzuri Sana na kiukweli watu wanaacha Sana alama na kupelekea kukamatwa kwenye baadhi ya cases
  12. Y

    KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Ufanisi wa kipimo Cha mdomoni(oraquick) ukoje,kinaweza kikaonyesha majibu sahihi siku 40 baada ya exposure?
Back
Top Bottom