Mikoa mipya Tanzania

Mikoa mipya Tanzania

Mimi nimebahatika kufika mikoa hiyo yote hapo.kwa mzunguko wa pesa naweza sema hivi
1.Njombe
2.Geita
3.Songwe
4.Manyara
5.Katavi
6.Simiyu

Upo sahihi. Katika hiyo mikoa yote Njombe ndiyo inayoongoza kwa mbali kwa human development.

Kwa takwimu za BOT, Njombe ni mkoa wa 4 kitaifa baada ya Dar, Mbeya na Iringa, kwa GDP per capita, wakati hiyo mingine huwezi kuikuta kwenye top 10.

List of regions by GDP per capita

List of regions by GDP per capita
RankRegionGDP per capita in TSh. /=
1Dar es Salaam4,348,990
2Mbeya Region3,506,101
3Iringa Region3,360,551
4Njombe Region3,317,698

 
Katavi wanachangia nini TRA kwa mwaka? Kigezo cha mkoa mpya kiwe mchango kwenye keki ya Taifa
 
Ni kakola siyo katola.
Kwa ujumla kwa mikoa mipya Geita inaongoza kwa kuwa na uchumi mzuri tena kushinda hata baadhi ya mikoa ya zamani kama Kagera na Singida.
Kakola haipo geita ipo shinyanga chief.
 
Muheza Ni wilaya Ndogo sana!
Tanga Mji Ni Wilaya Ndogo Sana..
Bado Idadi ya Watu haiwezi kukidhi Kuitwa Mkoa kwa Wilaya Tatu
Lushoto mbona umeiacha, Lushoto ni kubwa sana Ina majimbo karibia matatu au manne
 
Hivi Unajua Tanga Ina Ukubwa Gani??
Kwanini Wasiigawe Tabora au Morogoro Kuliko Tanga??
Tanga kubwa sana mkuu Kuanzia handeni, Kilindi,pangani,korogwe,Kilindi, Muheza, Lushoto, na Tanga mji wilaya ya Handeni na Lushoto ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom