Recent content by yokohama yokozuna

  1. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania For Geniuses Only Part 2: Hawa watoto wapo wangapi kwa ujumla wao?

    4½ Sent using Jamii Forums mobile app
  2. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Am Looking For A Man To Have A Child With

    Huko kwenu hawapo wa kukuoa hadi jf?Kapime mkojo kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. yokohama yokozuna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia inakuja nchini Kenya

    Naona neema za Allah zimejaa tele.
  4. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Zakaria,batco,sabuni,nyehunge,Allys,super sami na lake transport mbona hujawataja@mwita ke mwita.
  5. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Haki ya nani mzee wa watu kanapewa zaidi ya mkatolikiwaroma.
  6. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

    Sasa we Nakonde ni boda ya zambia au?
  7. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

    Nina miaka 56 ni mwizi.Vp tutaendana?
  8. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Juzi kati nilimjaribu dada mmoja tukaelewana vizuri hadi nikaelekezwa getoni lkn kabla sijaanza safari nikaombwa elfu 50 nilipomwambia hadi nifike tuonane,mkuu nilishushiwa matusi kama kontena 26 zile za bandarini hadi nikachukia yani sina hamu na wanawake wa badoo hawana heshima hata kidogo.
  9. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Hakuna mwanamke wa badoo ambaye haombi hela yani ukimpa hata salamu tu jibu ni kwamba tuma pesa kwanza ndo ujibiwe sasa ninashindwa kuelewa ni mtandao wa biashara au?
  10. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Mwananchi Mwanza; mtaa wenye mabilionea wengi kuliko hata Capripoint

    Tanga yupo Said Bembea
  11. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Mwananchi Mwanza; mtaa wenye mabilionea wengi kuliko hata Capripoint

    Bukoba umemuacha Kugis
  12. yokohama yokozuna

    JamiiForums Tanzania Mwananchi Mwanza; mtaa wenye mabilionea wengi kuliko hata Capripoint

    Wewe nyehunge yupi aliyegongwa na gari?Aliyegongwa ni mzee Lushanga wa Geita.(Lushanga bus)
Back
Top Bottom