Recent content by Yohanamdx

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Website ya NACTEVET (zamani NACTE) haifanyi kazi

    Ofcoz na tena kama wengine wakiangalia status iko submitted wengine confirmed watoto hawaelewi kabisa
  2. Y

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

    Kura ya Rais unaruhusiwa kupiga popote au na yenyewe mpaka sehemu uliojiandikishia??
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha Government Diploma?

    Yap Niko newala
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha Government Diploma?

    Matokeo yamefika qualifications za nacte Ila ttzo ni kwamba Kozi ya CO inaombwa na watu wengi mno na ukilinganisha na matokeo yko unakuta wamekuzidi so kupata ni ngumu....omba nursing dogo vyuo vya kawaida tu usiapply vikubwa vinacompitition kubwa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha Government Diploma?

    una matokeo mzur tu lakini kwa ushaur wangu omba nursing vyuo vya serikali vya hadhi ya kawaida tu usiforce kuomba kcmc, bugando,kibaha,sijui muhas achana navyo...Ila upande wa CO ukiapply asee unakosa hili nakuweka wazi kabsa medical lab yenye vyuo si zaid ya 7 tz nzima na pharmacy mtwara...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Awamu ya nne ya udahili Astashahada na Stashahada imefunguliwa

    Ninawataarifu vijana waliokosa vyuo katika awamu za nyuma kuwa NACTE wamefungua awamu nyingine ya kutuma maombi.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuomba mkopo mkiwa Diploma na mkapata piteni hapa

    Je afya ngazi ya diploma watatoa?
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo mtarajiwa, Uliyefeli pita hapa ufaidike

    Sawa mkuu
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa wote walioomba vyuo kupitia Nacte

    Sawa mkuu
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Joining instruction chuo cha afya.

    Lini wataleta confirmation baada ya second batch or?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Mzee hao ni walimu nenda youtube utaipata kwa uzur zaid
Back
Top Bottom