Kwa ufaulu huu naweza pata chuo cha Government Diploma?

Lucky sane

Member
Jul 6, 2020
7
4
Wakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata chuo cha Serikali kwa koz ya clinical officer kwa ushindani uliopo saizi
 
Unapata kabisa as kwa sasa wanahitaji mtu mwenye Kuanzia D kwa Masomo ya physics ,chemistry,biology & math so qualifications zote unazo ila swali langu ni ukishaaply chuo au ndio unafikiria kuapply sasa hivi?
 
Kote co na nursing wana qualifications zinazofanana
 
Oya mwamba bora ulivyouliza mwenywe nilikuwa nataka niulize hvyo hvyo na matokeo yngu na yko yanafanana kdg na nataka niapply chuo cha co
 
Bro mimi matokeo yng ni math-d,phy-d,chem-c,bio-c ,engl-c Nina two ya 20 na had sasa nimeapply vyuo viwil vya serikal co je naweza pata nafasi!!??
 
Yan bro acha tu kweny selform tulichagua chuo selection zinarud tumepelekwa advnc tena comb za art hge ikiwa cbg umefaulu vzur tu sasa mm naona bora niapply chuo!
Kweli bora kapige chuo, omba mapema vya serikali usisahau kuegesha maombi chuo cha private ambacho ni affordable and reliable
 
Wakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata chuo cha Serikali kwa koz ya clinical officer kwa ushindani uliopo saizi
Unapata chuo safi ila angalia vile vyuo ambavyo waamini ata competition ya watu kwenda ndogo. Kama Peramiho College of Health and Allied Science. Naamini utapata soma CO yako safi.
 
Matokeo hayo mbna ilibidi upate post ya f5 tena CBG, mmmmh poleeeh nenda chuo soma Medical Lab, au Pharmacy.
 
Bro mimi matokeo yng ni math-d,phy-d,chem-c,bio-c ,engl-c Nina two ya 20 na had sasa nimeapply vyuo viwil vya serikal co je naweza pata nafasi!!??
Kwa hizo qualification zako Co unapata kabisa tatizo linakuja kwamba competition zinaleta changamoto pale ambapo kuna ambao wana ufaulu mkubwa zaidi japo wote mna qualifications za kupata hizo course wenye ufaulu mjubaa zaidi ndio wanaleta changamoto na hasa Ikiwa wameshawahi kuapply kabla ya ambao ufaulu wao Sio mkubwa sana.
 
una matokeo mzur tu lakini kwa ushaur wangu omba nursing vyuo vya serikali vya hadhi ya kawaida tu usiforce kuomba kcmc, bugando,kibaha,sijui muhas achana navyo...Ila upande wa CO ukiapply asee unakosa hili nakuweka wazi kabsa medical lab yenye vyuo si zaid ya 7 tz nzima na pharmacy mtwara cotc....CO ni kozi inayoombwa na watu wengi mno...mfano mi mwaka Jana niliapply CO tanga lkn mtu wa mwisho kuchaguliwa pale alikua na 1 ya 14...na kiliombwa na watu 1600+ na kilichukua 50 tu....niliomba CO machaguo mawili na la tatu nikaomba nursing newala nikapata..
 
Bro mimi matokeo yng ni math-d,phy-d,chem-c,bio-c ,engl-c Nina two ya 20 na had sasa nimeapply vyuo viwil vya serikal co je naweza pata nafasi!!??
Matokeo yamefika qualifications za nacte Ila ttzo ni kwamba Kozi ya CO inaombwa na watu wengi mno na ukilinganisha na matokeo yko unakuta wamekuzidi so kupata ni ngumu....omba nursing dogo vyuo vya kawaida tu usiapply vikubwa vinacompitition kubwa
 
Back
Top Bottom