Elimu ngumu ndio elimu sahihi(Course ngumu ndio elimu sahihi)?.

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,590
8,475
Dulla Halotel 20190619_080516.jpg

Haijalishi mnaoenda vyuoni mnaenda kusoma nini, kama ni engineering field, au Health field, au business field, au kada yeyote, jamii inahitaji output ya ulichoenda kusomea na sio umesomea nini.

Kwahiyo mzingatie elimu ngumu au course ngumu sio kwamba ndio elimu sahihi, msiende kuchagua course fulani kisa ajira zinapatikana kiurahisi kwa wakati huu, bali angalieni output mtakazotokanazo vyuoni baada ya kumaliza.

Utakuta mtu kasoma Mechanical engineering mwaka wa tano yuko mtaani, mwingine kasoma ualimu au accountant miezi kadhaa yuko ofisini au kinyume chake ikawa sahihi, muhitimu alienda kusoma ualimu ili apate ajira haraka, miaka kadhaa ikiisha yuko mtaani lazima achanganyikiwe. Suala kubwa nikutambua elimu ngumu inaweza kuwa sio elimu sahihi Kama output haitaonekana baada ya kuingia mtaani.

Kwahiyo wahitimu mchague kada kwa kuangalia baada yakumaliza mtatoa output chanya?. Vinginevyo utasoma Medical doctor halafu utakuja dharaulika na aliesoma takwimu.

Au unaweza soma Mechanical,civil, electrical,Biomedical, ukaja dharaulika nawale wakada ambazo uliziona za hovyo. Au ukasoma ualimu,uhasibu,sanaa,survey,diplomasia,Kama hutokuwa na output nzuri basi utaendelea kudharaulika.

Kipindi unasoma zingatia output unayo/utakayoenda kuitoa katika jamii.
 
Hapo inategemea pia na kipato cha ndugu, wazazi na matarajio yako mwenyewe student, Lkn kama na nyie ni watoto wa mkulima kama mie soma Afya hasa Nursing ni iko market sana, Doctor of medicine & medical Laboratory Sciences ufaidi matunda ya huu utawala, Otherwise uxubil lbd tundu lissu akiwa raisi mamb yatukuwa 📣

Kwa aliesoma HKL,PCM,HGM,PGM na michepuo ambayo haimruhusu kusomea afya unaushauri gani kwake?.
 
Kwa aliyesoma Pcm najua wengi wao wanapenda Engineering lakini uhalisia uliopo kwa sie watoto wa mkulima walau kidogo namshauri aende Bio-medical Engineering hii nayo at least ni marketable, Otherwise let them be teachers #Yani wengi wenu mtanishangaa kwanini nakazia Health Allied Science uku ndo watu wanafaidi matunda ya huu Utawala wa huyu mkulu {Lakini pia kila mtu na bahati yake na dreams zake wakasomee walizokuwa wamedhamiria kusomea pindi walivyochagua hizo combinations zao lakini Hmmm..! Kwa utawala wa huyu mkulu wetu heeee}  Amkeniwatumie ata vya csee kuombea Diploma za Afya hawatojuta kabisa kuliko na degree yako ya nini sijui halafu uko nyumbani 5yrs+...
Siyo kweli, kwahyo hyo magu anakaa miak 100 kwny uongoz wake, coz zote ni nzuri mkuu na ndo maana zikawekwa ,asa unataka kila mtu akasomee Afya ????
 
Mi nafikiri mtoa mada ameeleza vyema swala la msingi ni kupambana kuwa na output chanya kwenye jamii..Haijalishi utasomea kada gani.
Lkn kama na nyie ni watoto wa mkulima kama mie soma Afya hasa Nursing ni iko market sana, Doctor of medicine & medical Laboratory Sciences ufaidi matunda ya huu utawala.
Naomba unipe muongozo hapo kwenye hiyo kada ya Nursing naona umetilia mkazo ukilinganisha na hizo nyingine hapo. Una muongozo wowote au wewe ni nurse. Naomba utujuze sie watoto wa wakulima
 
Uzi uko sawa kabisa mzee.pia hats wataalam mbalimbali wanasema Kuna uwezekano mkubwa anaesoma vitu rahisi kutoboa kuliko yule anaesoma vitu vigumu.uliza nikupe fact......
 
View attachment 1156412

Haijalishi mnaoenda vyuoni mnaenda kusoma nini, kama ni engineering field, au Health field, au business field, au kada yeyote, jamii inahitaji output ya ulichoenda kusomea na sio umesomea nini.

Kwahiyo mzingatie elimu ngumu au course ngumu sio kwamba ndio elimu sahihi, msiende kuchagua course fulani kisa ajira zinapatikana kiurahisi kwa wakati huu, bali angalieni output mtakazotokanazo vyuoni baada ya kumaliza.

Utakuta mtu kasoma Mechanical engineering mwaka wa tano yuko mtaani, mwingine kasoma ualimu au accountant miezi kadhaa yuko ofisini au kinyume chake ikawa sahihi, muhitimu alienda kusoma ualimu ili apate ajira haraka, miaka kadhaa ikiisha yuko mtaani lazima achanganyikiwe. Suala kubwa nikutambua elimu ngumu inaweza kuwa sio elimu sahihi Kama output haitaonekana baada ya kuingia mtaani.

Kwahiyo wahitimu mchague kada kwa kuangalia baada yakumaliza mtatoa output chanya?. Vinginevyo utasoma Medical doctor halafu utakuja dharaulika na aliesoma takwimu.

Au unaweza soma Mechanical,civil, electrical,Biomedical, ukaja dharaulika nawale wakada ambazo uliziona za hovyo. Au ukasoma ualimu,uhasibu,sanaa,survey,diplomasia,Kama hutokuwa na output nzuri basi utaendelea kudharaulika.

Kipindi unasoma zingatia output unayo/utakayoenda kuitoa katika jamii.
soma chochote hapa bongo lazima ukutane na kizungumkuti cha Ajira Portal
 
Jokate kasoma PSPA -ki kozi unasema kitandani,.

mameneja wa benk nyingi husomea IFM NA CBE, vikozi vyepesi ila mishahara mamilioni
 
"Output " ni neno pana sana ungelifafanua zaidi. Kuna kada nyingi ambazo ili output ionekane ni lazima mtu apate nafasi kwanza.
 
Back
Top Bottom